CCM inatisha kwa vipaji

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
519
Katika uchaguzi wa EALA leo CCM tumeonyesha vichwa vya maana upinzani longolongo tu
 
alhajii alhajii alhajii.....kudukududu....dudududu....
 
wangepewa dakika thelathini tu na majungu wangeanza kuyatoa wakati pale wameambiwa wajinadi.
 
ccm mna vichwa vichache sana ukilinganisha na wabunge wengi mlionao wengi ni wale wa ndioooooooooooooo
upinzani wachache kwa idadi yao wanavichwa vingi zaidi ukilinganisha na nyinyi magamba.
 
Haishangazi uchache wa upinzani ndo mana wanaweza ongea wote kwa siku na hata majina yao mmeyashika kichwani ni rahisi wao kuonekana sisi tuko zaidi ya mia2 hatuwezi ongea wote na hata majina yetu hamuwezi kuyashika kama ya hao kiduchu hii ndo logic hamna kitu pale upinzani ni stamp tu!
 
magamba nao kwa kujisifia ujinga,wengi wenu ni vilaza tu mapaka kufikia kutukana jukwaani kudaadekiiii hamna jipya mwisho wenu huo
 
Lusinde kazini, GAMBA.
 
magamba nao kwa kujisifia ujinga,wengi wenu ni vilaza tu mapaka kufikia kutukana jukwaani kudaadekiiii hamna jipya mwisho wenu huo

Punguza ndumu na viroba utaelewa tu kuwa Ccm tumejaaliwa vipaji
 
Kudadadadeki CCM.
Na bado..mpaka ifike 2015 hadi Kikwete atajivua gamba,mshangae kajiunga Chadema,ila na sisi hatuna nafasi yake cjui aende wapi!
 
Ndoto za mtoto mdogo hizi akiwa amelala mchana!
 
we botilo ni lusinde nini mbona povu linakutoka hivyo,watu km nyie hatuna nafac mtakapojivua gamba,vipaji unavijua au unaota? magamba hamna mvuto tena watu wamefunguka so alarm inagonga kwn vichwa vyenu.
 
Back
Top Bottom