Elections 2010 CCM inaondolewa kwa Knock Out

Pax

JF-Expert Member
May 3, 2009
268
87
Wagombea wengi wa CCM ikiwa ni pamoja na mgombea wake wa uraisi wako chali, tunamsubiri refa amalize pambano tu. Masumbwi mazito ya CHADEMA inaonekana yametua vilivyo kwa CCM na kuna kila dalili kuwa pambano litakwisha kwa KO. Mgombea wa CCM hali ni mbaya hajui ajinusuru vipi, kila sehemu anayokwenda ni chungu, Slaa anarusha makonde mazito na yote yanalenga usoni. Inaonekana hata refa ameshindwa kumuokoa mara hii, kauchuna adhalilike maana aliambiwa akajidai anafanya mazoezi na familia yake, hahahaha!

Naweza nikasema hajui ashike wapi maana vipigo kila kona, mara Mwanza, mara Arusha, hahaha! mda hautoshi tena, ikulu hiyoooo inamkimbia.

Mimi sio mwanasiasa but ukweli ni kuwa kwa sasa any thing is better than CCM, hata Mutahingwa au Mziray au Rungwe ni bora kwa kweli. Wanacheza na sisi tu hawa jamaa na watoto wao.

MUNGU IBARIKI TANZANIA,
 
Kwanza nikwenda kuhakiki majina yetu kama yamebandikwa kwenye notice board.
Pili jumapili ni kwenda mape,a kwenye vituo vyetu kumpigia kura kamanda wetu. Hakuna maneno mengi.
 
chukua hatua usipoteze kura yako,mpigie slaa shujaa wa ukweli
 
Back
Top Bottom