CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

CCM HATA WAKIMSHUSHU YESU KRISTO AJE AGOMBEE KWA TIKETI YAO, YESU ATASHINDWA VIBAYA SANA, MAKE CCM KUNA WATU WAZURI SANA NA WAZALENDO TATIZO NI CHAMA NA SI WATU, CCM IMEEZEEKA WATU HAWATAKI HATA KUONA BENDERA ZA CCM SO MSIDHANI ISHU NI KUTAFUTA MTU MWEMA, huyo mchungaji cha mtoto muombeni YESU kabisa aje agombee
Angetajwa Muhamad S.A.W pasingekalika.
 
Nimepata habari za ndani kuwa CCM inamshawishi Mwalimu Christopher Mwakasege achukue fomu kogombea ubunge Arusha mjini kupitia CCM.

Kama habari hizi ni kweli heshima aliyojijengea mtumishi huyu kwa miaka kadhaa itayeyuka kama barafu kwenye jua.

mkuu hilo sahau kabisa na haitawezekana, mwl. C Mwakasege alishawahi kuwa mshauri wa ikulu maswala ya kiuchumi lkn kaacha kwa ajili ya kumtumikia mungu. Halafu jamaa ni CHADEMA FUL. Mleteni mama Rwakatere yuko ki biashara zaidi.
 
'NYUMBA YA BABA YANGU SIO PANGO LA WANYANG'ANYI'. Yesu Kristo alitamka haya alipokuta wachuuzi wamegeuza hekalu kuwa sehemu ya biashara na sio sehemu ya Ibada. CCM ni kundi la wanyang'anyi na Ikulu ni pango la wanyang'anyi. Endapo Mwakasege atasimama kwa tiketi ya magamba nae atakua miongoni mwa kundi la wanyang'anyi.
 
CCM HATA WAKIMSHUSHU YESU KRISTO AJE AGOMBEE KWA TIKETI YAO, YESU ATASHINDWA VIBAYA SANA, MAKE CCM KUNA WATU WAZURI SANA NA WAZALENDO TATIZO NI CHAMA NA SI WATU, CCM IMEEZEEKA WATU HAWATAKI HATA KUONA BENDERA ZA CCM SO MSIDHANI ISHU NI KUTAFUTA MTU MWEMA,
huyo mchungaji cha mtoto muombeni YESU kabisa aje agombee
Mkuu please usitumie mifano kama hii katika hoja zetu dhidi ya CCM. YESU ambaye leo wakristo wanakumbuka alivyo yatoa maisha yake kwa mateso makubwa ili kuwakomboa halafu umfananishe na mambo ya CCM hiyo itakuwa ni Insult ya kiwango cha juu sana.
Tubu utasamehewa. Then tusubiri yeyote mwingine atakayeletwa atakavyo garagazwa
.
 
Mwaakasege ni mwalimu wa walimu wa mafunzo ya bibili na ana heshima kubwa kwa ajili hiyo sidhani kama atakuwa tayari kujishushia hadhi yake na kujiingiza kwenye siasa za zuluma na utapeli wa nchi hii

bibili ni mini?
 
CCM HATA WAKIMSHUSHU YESU KRISTO AJE AGOMBEE KWA TIKETI YAO, YESU ATASHINDWA VIBAYA SANA, MAKE CCM KUNA WATU WAZURI SANA NA WAZALENDO TATIZO NI CHAMA NA SI WATU, CCM IMEEZEEKA WATU HAWATAKI HATA KUONA BENDERA ZA CCM SO MSIDHANI ISHU NI KUTAFUTA MTU MWEMA,
huyo mchungaji cha mtoto muombeni YESU kabisa aje agombee

Sipendi CCM iwepo madarakani ila kwa hiki ulichokiandika hapa naanza kuwa na wasiwasi na hao ninaofikiri kwamba ndio ukombozi kama wataanza kuingilia imani za watu, kwa hili ni bora CCM ishinde basi..
 
Hapa umekufuru.
 
Mwakasege anaongozwa na Mungu sitegemee kama Mungu ataruhusu hilo.

una maanisha huyo mzee hafanyi makosa yeyote kama binadamu? Sentensi yako hemu ifutilie mbali maana hakuna mtu anayeongozwa na mungu ni hekima zake na kujua uwepo wa mungu na kujizuia na madhambi kadri atakavyo weza, ila m/mungu ametupa akili kuyajua mema na mabaya na ametupa free will ya kuamua kufanya au kutofanya. So ukiona mtu anafanya mema wewe hufanyi usijitetee kusema eti yeye anaongozwa na m/mungu na mimi siongozwi thats why nafanya maovu. Message 2 all of us.
 
Sipendi CCM iwepo madarakani ila kwa hiki ulichokiandika hapa naanza kuwa na wasiwasi na hao ninaofikiri kwamba ndio ukombozi kama wataanza kuingilia imani za watu, kwa hili ni bora CCM ishinde basi..

Pole sana! Usichukie CDM kwa ajili ya huyo punguwani.
 
CCM HATA WAKIMSHUSHU YESU KRISTO AJE AGOMBEE KWA TIKETI YAO, YESU ATASHINDWA VIBAYA SANA, MAKE CCM KUNA WATU WAZURI SANA NA WAZALENDO TATIZO NI CHAMA NA SI WATU, CCM IMEEZEEKA WATU HAWATAKI HATA KUONA BENDERA ZA CCM SO MSIDHANI ISHU NI KUTAFUTA MTU MWEMA,
huyo mchungaji cha mtoto muombeni YESU kabisa aje agombee

Komandoo,nakuomba tafadhali delete post yako hii!this is abusing our faith that Jesus Christ is alfa and omega...the name above all names!futa post yako au edit toa jina Jesus weka lolote upendalo!
 
CCM HATA WAKIMSHUSHU YESU KRISTO AJE AGOMBEE KWA TIKETI YAO, YESU ATASHINDWA VIBAYA SANA, MAKE CCM KUNA WATU WAZURI SANA NA WAZALENDO TATIZO NI CHAMA NA SI WATU, CCM IMEEZEEKA WATU HAWATAKI HATA KUONA BENDERA ZA CCM SO MSIDHANI ISHU NI KUTAFUTA MTU MWEMA,
huyo mchungaji cha mtoto muombeni YESU kabisa aje agombee

YESU KRISTO NI MFALME WA WAFALME hana sababu yakutafuta kura yako....tayari anamiliki na kutawala...ndani yangu na wengine wanaomwamini....kwa hiyo kuhusu kushindwa hilo sahau...Yeye ni mshindi tayari
UWE MAKINI NA COMMENT zako kwa leo naomba Mungu akusamehe
 
Yesu Kristo ni tumaini la wanyonge na walioonewa na kunyanyaswa.
Kila mwenye hofu ya Mungu humtumaini Yesu Kristo.

Tusifikie mahali tukamkufuru roho mtakatifu ndugu zangu katika kristo.

CCM HATA WAKIMSHUSHU YESU KRISTO AJE AGOMBEE KWA TIKETI YAO, YESU ATASHINDWA VIBAYA SANA, MAKE CCM KUNA WATU WAZURI SANA NA WAZALENDO TATIZO NI CHAMA NA SI WATU, CCM IMEEZEEKA WATU HAWATAKI HATA KUONA BENDERA ZA CCM SO MSIDHANI ISHU NI KUTAFUTA MTU MWEMA,
huyo mchungaji cha mtoto muombeni YESU kabisa aje agombee
 
Huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, utampenda huyu na kumchukia mwingine. Akikubali maana yake ni kwamba anatumia jina la Yesu kujijenga ili apate umaarufu wa kisiasa, kwa hiyo atakuwa anapenda siasa za maslahi kuliko kuwatumikia watu. Walikuwa wanamkubali siku zote watamdharau.
Sikubaliani na watu wa aina ya Rwekatare
 
hebu jiulize kwanza ...kwanini Ngoyai Edward Lowasa amepanda mahindi akavuna matembele?
 
CCM HATA WAKIMSHUSHU YESU KRISTO AJE AGOMBEE KWA TIKETI YAO, YESU ATASHINDWA VIBAYA SANA, MAKE CCM KUNA WATU WAZURI SANA NA WAZALENDO TATIZO NI CHAMA NA SI WATU, CCM IMEEZEEKA WATU HAWATAKI HATA KUONA BENDERA ZA CCM SO MSIDHANI ISHU NI KUTAFUTA MTU MWEMA,
huyo mchungaji cha mtoto muombeni YESU kabisa aje agombee

Kwa post yako yako hii kuna watu wengi sana wataanza kuichukia CHADEMA, kwamba CHADEMA ipo juu ya MUNGU??
 
Mkuu,
Kwa nia njema umeenda nje ya majadiliano kwa kumwingiza Yesu Kristo katika Mjadala huu!
Tunakuomba sana na kukuheshimu, rekebisha hii post yako, maana leo tuko kwenye Ijumaa kuu, usituharibie siku!
Naamini wewe ni mwelewa na uta'edit post yako!

Namuombea msamaha kwa damu ya Yesu (Mwana waa Mungu aliye hai) iliyomwagika msalabani miaka kadhaa siku kama leo. Wapendwa msameheni bure kwani nasi tumesamehewa bure. Kumbukeni "Baba uwasamehe hawa kwani hawajui walitendalo". Aliyeandika kuhusu Yesu hajui alitendalo. Tena "Kisasi ni changu mimi asema Bwana wa Majeshi". Tumeokolewa kwa neema tu. Ni vizuri neema hiyohiyo iliyotuokoa sisi tuombe uwafikie na wengine na si kuwalaani. Sisi tuna ubora gani mbele ya Mungu? "Wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu".
Kuhusu mtumishi wa Mungu Mwakasege, kama angelikuwa mtu wa tamaa na kujali maslahi yake binafsi saa hizi angekuwa na "kanisa mzinga" hapa Tanzania au angelikuwa askofu kwenye moja ya nchi kubwa duniani. Yote hayo ameacha ili amtumikie Mungu kwa wakati, mahali, muda na mpango ambao Mungu alimwitia. Siamini kama anaweza kubabaishwa na ubunge wa Arusha - ni kiwango duni sana kwake.
 
Back
Top Bottom