CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

CCM HATA WAKIMSHUSHU YESU KRISTO AJE AGOMBEE KWA TIKETI YAO, YESU ATASHINDWA VIBAYA SANA, MAKE CCM KUNA WATU WAZURI SANA NA WAZALENDO TATIZO NI CHAMA NA SI WATU, CCM IMEEZEEKA WATU HAWATAKI HATA KUONA BENDERA ZA CCM SO MSIDHANI ISHU NI KUTAFUTA MTU MWEMA,
huyo mchungaji cha mtoto muombeni YESU kabisa aje agombee

Laana na ikae juu yako na uzao wako wote hadi kizazi chako cha kumi. Maisha yako kuanzia sasa na yawe mafupi sana kama moto wa mshumaa. Mungu wetu kamwe hawezi kufananishwa na mtu yeyote Duniani. Popote upitapo majanga yaambatane nawe. Jina lako lifutwe hapa Duniani. AMINA

Hawezi kujiunga na kutumikia chama cha matusi maana yeye ni mtumishi wa Bwana ambaye kazi yake ni kuokoa roho za watu zinazopotea.Wanachotakiwa ccm wamuombe mwakasege awaombee hiyo roho waliyo nayo ya kung'ang'ani madaraka na kueneza siasa za matusi,uaji na kuiba mali za watanzania waziache na wakubali kwa sasa hawana mvuto tena kwa watanzania
 
sure,hawezi kufanya maamuzi machafu,harafu huyu aliyeletA hii topic ana mpango gani au anataka watu wamchafue mpakwa mafuta wa Bwana?

Mwenyenguvu, Mwakasege hawezi kuchafuliwa iwapo atachukua maamuzi sahihi kwenye hili
 
Naona mpaka mwisho dunia nzima itagombea ubunge wa arusha kupitia ccm! Ukiona chama kilichoko madarakani kwa miaka 50
kinahaha kupata mwakikishi katika uchaguzi wa mbunge tu,ujue kuna tatizo na hasa kimeshindwa kuwatumikia wananchi. Arusha chinja hao wezi!
 
najaribu kuimajini mchanganyiko huu, Mwigulu+Lusinde+Wasira+Mwakasege = undefined.
 
CCM ni nani hapa? Mjomba wako ambaye ni mwana-CCM akikuambia ugombee ubunge basi ndo imekuwa CCM imesema? Si useme tu kwamba mjomba wake so and so ambaye ni mwana CCM amemuomba mchungaji so and so agombee kupitia CCM?
 
Aliyetamka habari za Yesu kuja kugombea aliombe radhi jukwaa la sivyo mod piga ban haraka. Hata kama chadema wanapendwa na wana nguvu hakuna kitu/mtu wa kufananishwa na Yesu. Chadema wenyewe manasema wanaanza na Mungu na kumaliza na Mungu, hawako juu ya Mungu bali wanamtegemea Mungu
 
Hawezi kujiunga na kutumikia chama cha matusi maana yeye ni mtumishi wa Bwana ambaye kazi yake ni kuokoa roho za watu zinazopotea.Wanachotakiwa ccm wamuombe mwakasege awaombee hiyo roho waliyo nayo ya kung'ang'ani madaraka na kueneza siasa za matusi,uaji na kuiba mali za watanzania waziache na wakubali kwa sasa hawana mvuto tena kwa watanzania

hakika wewe umeona mbali sana,inawezekana mleta hoja anasema wanamshawishi agombee kumbe wamemwendea ili awaombee
 
Swali: je kwa kuwa kuna wadau wametoa post kuwa mwakasege yuko chadema, je anaweza kugombea kupitia chadema? In case lema hataruhusiwa kugombea
 
Laana na ikae juu yako na uzao wako wote hadi kizazi chako cha kumi. Maisha yako kuanzia sasa na yawe mafupi sana kama moto wa mshumaa. Mungu wetu kamwe hawezi kufananishwa na mtu yeyote Duniani. Popote upitapo majanga yaambatane nawe. Jina lako lifutwe hapa Duniani. AMINA

Duh!!

Maombi mengine, hata uanaposikia ama kusoma unaogopa.
 
CCM HATA WAKIMSHUSHU YESU KRISTO AJE AGOMBEE KWA TIKETI YAO, YESU ATASHINDWA VIBAYA SANA, MAKE CCM KUNA WATU WAZURI SANA NA WAZALENDO TATIZO NI CHAMA NA SI WATU, CCM IMEEZEEKA WATU HAWATAKI HATA KUONA BENDERA ZA CCM SO MSIDHANI ISHU NI KUTAFUTA MTU MWEMA,
huyo mchungaji cha mtoto muombeni YESU kabisa aje agombee

Sijaipenda, Yesu wa nini kwenye ubunge?
 
Back
Top Bottom