CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

Du! hiyo itakuwa kali kama Mwakasege akikubali, atabadilisha upepo wa kisiasa Arusha kupita kiasi lakini kwa jinsi ninavyomjua hawezi kukubali, ni mtu makini sana!
 
Mwakasege hawezi kukubali kuingia mahali penye uwovu wa kiwango cha CCM.Kama akikubali tutajua hakuwa mtumishi wa Mungu after all,ila tapeli wa kiroho kama walivyo akina Mzee wa Upako,Mwingira,Geo Davie na wengine.
Wakuu naleta huu uzi baada ya kupata taarifa za Kiintelijensia kutoka ndani ya kambi ya Chama Cha Mapinduzi kua baada ya jaji yule aliyesoma hukumu batili iliyovuja kutokea makao makuu kua lazima wamvue ubunge muheshimiwa G/Lema na baada ya hapo wakati taarifa zikiwa hewani kua Lema hatakata rufaa na atasimama tena kugombea ubunge ili jimbo la Arusha mjini lirudi kwa kambi ya upinzani, basi nao CCM wakawa busy kumshawishi yule muhubiri Christopher Mwakasege wakiamini kua ni mchumi na anaushawishi mkubwa wa kuwashawishi wakazi wa jimbo la Arusha mjini. Pamoja na hayo CCM pia walikua wamerizika kwa shingo upande kwa hukumu hiyo ya muheshimiwa Lema kwakua wanajua kabisa kutakua na kibarua kigumu kulichukua jimbo hili na pia wanaamini jaji huyu alikurupuka Kutoa hukumu hiyo bila kujua ni nini kitafuata baadae. Nawasilisha.

Souce: Habari kuvuja kutoka kambi ya CCM!
 
Nimepata habari za ndani kuwa CCM inamshawishi Mwalimu Christopher Mwakasege achukue fomu kogombea ubunge Arusha mjini kupitia CCM.

Kama habari hizi ni kweli heshima aliyojijengea mtumishi huyu kwa miaka kadhaa itayeyuka kama barafu kwenye jua.


Hii sasa ni mchanganyiko! Imagine mpiga debe wake atakuwa maji marefu, Lusinde, Kingunge na Mkapa!! Maji marefu akiwa na tunguri zake, Lusinde na Matusi, Mkapa atishie ya Pemba na Kingunge awaambie wapiga kura kuwa hakuna Mungu. Kampeni zitakuwa tamu kweli.
 
Jamani tunapotoa topic tue na uhakika maana kuwazushia watumishi wa mungu kama hawa mbona hatari kubwa me ina la kusema juu ya hili
 
Habari hizi hata nami nimezisikia kama siku 3 hivi zilizopita, nimjuavyo Christopher Mwakasege, sidhani kama atakubali kuingia kwenye hicho chama, nakumbuka vizuri mahubiri/mafundish yake aliyo kuwa akiyatoa Radio Free mwaka 2005 muda mfupi kabla ya uchaguzi, alikuwa akimponda sana Kikwete kama mgombea wa magamba, hakutaja jina but sifa za mtu asiyetakiwa kua rais wa nchi alizokuwa akizitaja zilikuwa zikimlenga JK, so sidhani kama msimamo wake 2005 ndio huo huo hadi leo, hawezi kukukabali, ngoja tusubiri.
 
Mwakesege hawezi kukubali, yeye ni mwalimu wa mambo ya dini, pesa anayotengeneza kutoka kwenye vitabu, kanda na mahubiri yake vinamtosha, anajulikana Tanzania na nje ya nchi kuliko viongozi wengi sana wa siasa wa Tanzania.

Hata yeye lazima ni Chadema, anajifanya CCM kwa vile wako madarakani hana budi kujifanya ivyo ili mahubiri yake yasije kakatazwa.

Mama Lwakatare is CRAZY WOMAN, ndiyo maana akaijiingiza huko ccm, she LOVES MONEY TOO MUCH... Mungu kwake ni by the way tuu, one way of making her easy money, easy money from poor people...sad, very sad!!!
 
Mtumishi wa Mungu hawezi Fanya kama hivi wewe umejitungia kwan yeye anasimamia Neno la Mungu
 
Mtumishi wa Mungu hawezi Fanya kama hivi wewe umejitungia kwan yeye anasimamia Neno la Mungu

Atajuta kuzaliwa, atajua kuwa mambo ya mazabahuni ni ya mazabahuni na ya kwenye sanduku la kura ni ya sanduku la kura! Arusha ushindi kwa CCM labda ubabe, kwa kura hawatoboi!
 
Atajuta kuzaliwa, atajua kuwa mambo ya mazabahuni ni ya mazabahuni na ya kwenye sanduku la kura ni ya sanduku la kura! Arusha ushindi kwa CCM labda ubabe, kwa kura hawatoboi!
Kabla ya kupost huwa mnasoma hii thread ni ya lini?
 
Yule mzee Mwakasenge ni mtu aliyekuwa makini sana nafikiri asingekubali kuingizwa mjini na matapeli wa ccm

ccm wanakutumia mwisho hamna atakaekuja kukujali kama mpuuzi Shigongo
 
Mkku
Mbona mama Lwakatare yuko kote
Mkuu huyo mama aliachana na siasa baada ya kugundua kuwa huwezi ukawa mtumishi wa Mungu kutoka moyoni ukawa mwanasiasa,huyu mama aliniambia dhamira ilimsuta sana kipindi cha Bunge la katiba hasa matusi ya nguoni waliokuwa wana tu kana akina Asha Bakari,kama vile Jusa hanith,Mzee warioba atuachie nchi yeye umri umeenda,
 
Back
Top Bottom