CCM inacheza na akili za watanzania na wengi wanakubali

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
473
Baada ya kushindwa kutekeleza ahadi zake sasa chama hiki kimeamua kuja na mchezo wa kujivua gamba Hii inawasaiidia pale wanapo ulizwa na wananchi wamefanya nini cha maana tangu uchaguzi mkuu ulio pita utasikia tumejivua gamba!!! wananchi nao wanasahau kuwa chama hicho ndio kinaunda serilikali yenye wajibu wa kutimiza ahadi zote zilizo tolewa na Rais ikiwa ni pamoja na kujenga reli toka Mwanza hadi Dar, wanafunzi kujifunza kwa kutumia laptop ,kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba! My take wanamageuzi. Msii poteze mda mrefu humu JF bali nendeni vijijini mkawaelimishe mama na Bibi zenu mlio waacha huko.
 
Back
Top Bottom