MWANALUGALI
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 601
- 34
mbuni ya Kuchakachua ya CCM mwaka huu ni kutuchosha halafu tukate tamaa na kuachia ili watuibie kura zetu. Huyu Alshaaf Kinana anaendeleza mbinu hizo hizo ili kutuonyesha kuwa majimbo ya kushindaniwa yamekamilika wakati bado majimbo yetu ya ushindi hayajatangazwa. kwa taarifa yake ni kwamba tunaendelea kukomaa na jimbo la Segerea,Njombe, karagwe nk.