CCM Ina-Capitalize msiba wa Kanumba for Political gain?

Wanabodi,

Na
Politics is very interesting game, japo wengine wanaita is a very dirty game, for me, politics is a game of exploration of opportunities!. For every event hata kama ni msiba, wao kwao they see an opportunity!.

Pasco.


Ukiwa politician, unakuwa kama mcheza kamali/draft.
ready to strike is any opportunity appears....
This is why you can not separate politics with social life...
 
aisumbui kichwa,co msiba wa kitaifa,na clouds co media pekee eneo hilo,kila aliyefika kaguswa kwa namna yake nafsini!!!!!
 
CCM is a dead Horse!! Kilichobaki ni kusababisha na kunyemelea misiba!! Wakitumia media za waosha vinywa!!
 
ama unaenda kanisani na mhubiri wako anakuambia habari za kupata hela,mchumba,kutoa mapepo na magonjwa bila kukuhubiria utubu na uache dhambi angalia mara mbili na achana naye anakupoteza mbaya kwanini usijiombee mwenyewe kwa Mungu wako iweje mtu mwingine akuombee kwa niaba yako tubu dhambi,wapende wenzio kama unavyojipenda,saidia wenye shida na uache kutenda dhambi utaona mwnyw neema zitakavyokushukia achana na hao manabii/mitume na soon ataibuka mmoja wao na kujiita Yesu!

Edit Reply Report Post
 
Mkuu pasco umeenda mbali sana,
ni desturi ya watz kuhudhuria misiba na haina uhusiano wa kisiasa kabisa, sidhani kama ni sahihi kila jambo kuliingizia na siasa, hatutafika! kuna masuala ya kijamii na mengine ya kitaalamu!
Acheni hizo

Soma uchambuzi mzima wa Pasco utaelewa hoja zake.
 
Mhe Pasco sijaelewe hasa mantiki ya bandiko lako hili unalaumu, lalamika, sikitika au huzunika? umesema politics ni dirty game kwa that point of view chama kingine kijitokeze kupinga maziko yale kuwa na publicity na kufanywa ya kitaifa kwakuwa aliekufa alikuwa na mahusiano na minor (child abuse)

Ni mtazamo tu.
 
Wanabodi,

Naangalia msiba wa Kanumba live kupitia Clouds TV, nimenote viongozi wa CCM wakipewa maximum recognition.

Tangu mwanzo MC akitangaza miongoni mwa wageni mashuhuri akawataja mawaziri na wabunge akamalizia kwa Mukama na Nape, Mhe. Mbilinyi ambae yupo hapo has never been mentioned na siamini kuwa MC hajamuona Sugu mahali pale!.

Baadae katika kukusanya maoni ya watu mbali mbali, Clouds radio na TV waka zero in Mkama na Nape tuu, yaani hawakuonekana wengine wowote wa kutoa maoni yao!.

Nilikuwa najiuliza jinsi msiba huu ulivyofanywa wa kitaifa na serikali kutoa ushirikiano mkubwa hivi ikiwemo logistic support kuwezesha Kanumba kuzikwa maziko ya kitaifa nikijua ni kuuenzi mchango wa Kanumba tuu kumbe nia ni kuwashika wapenzi wa Kanumba!.

Politics is very interesting game, japo wengine wanaita is a very dirty game, for me, politics is a game of exploration of opportunities!. For every event hata kama ni msiba, wao kwao they see an opportunity!.

Pasco.

Hawa CCM wanataka kuwapitisha wale wajumbe goi goi kwenye ile tume ya katiba wasijadiliwe na wananchi na kupunguza presha kwao. Unajua hawa CCM wameshaona hawatoki. Itakuwa kama Babu wa Loliondo walivyompaisha hadi kiasi cha ule mwamko wa Nguvu ya Ummma against CCM na JK kupungua.

Hawana lolote kuanzia Kesho tunalianzisha upya, Na Rungu tumempa Kamanda Lema.
 
TK, mimi nimeuliza tuu yaani kati ya viongozi wote waliopo pale, inaamaana walioonekana ndio hao wa CCM tuu?!.

Mbona mimi huku mbali nimemuona Mhe. Sugu?!. Hivi unaweze usimtaje mbunge ukamtaja mwenezi wa chama fulani tuu?!.
huyu ni ''Regia'' wao CCM, waaacheni na wao '' waoshe ! '' kwani Chadema na wao walifanya maonyesho ya maiti pale Karimjee. Au Jamaa kafunika !?
 
Ndio maana mwigulu alionekana majuzi msibani akiwa kavaa kama yuko jukwaani akisikiliza matusi ya lusinde!
 
Mkuu pasco umeenda mbali sana,
ni desturi ya watz kuhudhuria misiba na haina uhusiano wa kisiasa kabisa, sidhani kama ni sahihi kila jambo kuliingizia na siasa, hatutafika! kuna masuala ya kijamii na mengine ya kitaalamu!
Acheni hizo
Naona umeamuwa kujitia upofu kwa makusudi, labda nikuulize kule Bungeni leo Bunge lilipaswa kusimama kwa dakika moja kumkumbuka Kanumba au Haroun Mahundi? open Ur eyes.
 
Wanabodi,

Tangu mwanzo MC akitangaza miongoni mwa wageni mashuhuri akawataja mawaziri na wabunge akamalizia kwa Mukama na Nape, Mhe. Mbilinyi ambae yupo hapo has never been mentioned na siamini kuwa MC hajamuona Sugu mahali pale

Hao Wabunge na MAwaziri wote muda huu wanatakiwa kuwa BUNGENI, je hapo wanafanya nini?????


Naomba chunguza kama kuna daftari la kusaini mahudhurio ya Wabunge hapo, wasije kusaini na kisha kupokea posho kama wameshiriki Bungeni.



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Pasco,
Latins say carpe diem, meaning seize the moment. Politicians know well when the moments to be seized show up and trust me, in your own words, they are brilliant in capitalizing them.
 
Naona umeamuwa kujitia upofu kwa makusudi, labda nikuulize kule Bungeni leo Bunge lilipaswa kusimama kwa dakika moja kumkumbuka Kanumba au Haroun Mahundi? open Ur eyes.


Binafsi najiuliza; Who is KANUMBA???? hata Bunge lifanye hivyo.

Naona mwisho tutataka na Bendera ipepeee nusu mlingoti, kisha tarehe aliyofariki iwe ni siku ya mapumziko kama zilivyo "Karume Day", na "Nyerere Day"

SHAME ON YOUR BRAIN!!!!!!!!!!!!!!



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
acapitalise nini their popularity will continue kuanguka hadi watatue shida za msingi za wananchi

kwa hali ya sasa, CCM = irritant!! hata wafanyeje,
 
Mmmh Pasco umechemka; kama ungekua umemfuatilia Regina Mwalekwa tangu mwanzo wakati akiwataja viongozi mbalimbali waloshiriki basi sidhani kama ungepost hii coz aliutambua uwepo wa Mh. Sugu, sasa utaisemaje kama mtu akiibuka hapa na kusema Sugu ndiye alienda kisiasa zaidi coz alionekana amevalia sare ya CDM msibani?
Kama haitoshi mbona Mh.Shibuda naye alihojiwa na Clouds je huyu naye ni mb. wa CCM?
Mc alikua Tadge Liundi na sio Kbonde kama mmoja wa wadau alivyosema naye mbona alitambua uwepo wa Mh.Sugu?
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom