CCM in a crisis meeting over corrupt officials

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
The ruling party in Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) has met today in Dar es Salaam and according to the agenda the party is discussing the future of three its members (names withheld), who are accused of corruption and abuse of office. The party members attending the meeting are those of the national Executive Committee (NEC) according to the spokesperson of CCM, Nape Nnauye.

Although Nape has described today’s CCM meeting as normal other party members have told our reporters in Dar es Salaam that today’s meeting is so critical to the party’s future. The CCM meeting is still going on and Ultimate Media will keep you updated as details emerge.

Uganda Government News: Chama Cha Mapinduzi in a crisis meeting over corrupt officials
 
The ruling party in Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) has met today in Dar es Salaam and according to the agenda the party is discussing the future of three its members (names withheld)

Dalili ya woga hii!
 
Let us wait and see if they are bold to mention publicly those three corrupt and take appropriate measures against them -who will dare hold the lion by the tail?
 
CCM bana yaani wanafanya kazi utadhani waganga wa kienyeji....hivi hawa si muwarudihie tu hala yao ya kadi ya uanachama them muchukue kadi zenu au ?
 
CCM haina wachumi!

Mbona wanatumia fedha nyingi sana kufanya kazi ambayo ni ya dk 3 tena ya M/kiti peke yake akiamka asubuhi anamaliza kabisa, kwani wanasumbuka nini? very easy aruhusu vyombo vya dola viwakamate hawa waharifu au anaona aibu kwasababu alianza kwa kuwatetea.
 
... kwa ile kauli TUNGO TATA aliyotoa kimtego mtego juzi Mzee Andrew Chenge aka Vijisenti, wana-CCM mikoani subirini chama chenu kitakavyopiga kona kali na kuondokana kabisa na dhana zima ya kule kujivua gamba.

Mzaha mtupu, hakuna kitu pale!!!
 
kwa hiyo kwa WAGANDA hii ni GOVERNMENT NEWS???? ........kweli CCM chama na KIMATAIFA......nakumbuka kuna mtu alisema hii watu tukamcheka....hahahaha
 
mbio za sakafuni huishia ukingoni...wawafukuze au waelewane kwa namna fulani vyote kwa ccm ni ukingo tu, kuta kotekote! tuwaache lakini tuone vinavyoitwa 'vichwa' vya ccm viunakuja na mpya gani....tutegemee another act ya kisanii
 
Thubutu, huo ujasiri wakaupate wapi kama wale nao hawataropoka kila kitu wanachokifahamu!!!!!!!

mbio za sakafuni huishia ukingoni...wawafukuze au waelewane kwa namna fulani vyote kwa ccm ni ukingo tu, kuta kotekote! tuwaache lakini tuone vinavyoitwa 'vichwa' vya ccm viunakuja na mpya gani....tutegemee another act ya kisanii
 
hao watu wenyewe kwenye kamati kuu ni mafisadi kuanzia aliye kuwa chupika wakati jengo jipya lina jengwa, mpaka kuwa mwenye cheo vodacoma wakati yeye ni chupaki, mpaka nkewe kuwa waziri ya madawa na matibabu, mwingine alikuwa ni waziri wa iptl, mwingine alikuwa kanali wa meno ya tembo
 
Duuh, mwana mbona gubi gubi hivi??????????

hao watu wenyewe kwenye kamati kuu ni mafisadi kuanzia aliye kuwa chupika wakati jengo jipya lina jengwa, mpaka kuwa mwenye cheo vodacoma wakati yeye ni chupaki, mpaka nkewe kuwa waziri ya madawa na matibabu, mwingine alikuwa ni waziri wa iptl, mwingine alikuwa kanali wa meno ya tembo
 
Why so many meetings? Tanzanians dont want meetings, but actions, bold actions. CCM waache usanii na kutuibia tumechoka na usanii wao. Hebu watujibu;

1. Hilo gamba wanajivua sasa walilivaa lini na kivipi?
2. Hilo gamba lilikuwa linawasaidiaje mpaka wakalizoea na leo limewakuta nini hadi walivue?
3. Lakini pia hata nyoka akijivua gamba anabaki kuwa nyoka na tabia zake zilezile za awali, ila ti ataonekana mpya kwa nje.
4. Sumu ni mbaya zaidi kuliko gamba so kujivua gamba si solution solution ingekuwa ni kumwaga sumu inayowadhuru Watanzania.

Hapo hakuna kitu usanii mtupu
 
Back
Top Bottom