Ccm imetwaa mamlaka ya uhamiaji?

Mtotowamwisho

New Member
Aug 19, 2010
3
0
Issue ya bashe na uraia wa Somalia iliyoibuka kutokana na mizengwe ya kamati kuu ya CCM, imenisukuma niandike hii hoja ili tuijadili kwa kina

Mara kadhaa makamba amekuwa akitetea hoja kuwa yeye si raia licha ya kutoa documents za kusapoti uraia wake

Kinachonishangaza ni kwanini makamba aukane uraia wa bashe, ili hali yeye si mwenye dhamana ya kuthibitishga uraia wa mtu kwenye hii nchi, anaenda mbali kwa kumtetea yule chaguo lao kuwa ni Mtanzania licha ya organ za serikali kufanyia kazi suala hilo, kwa madai yeye ni raia wa Rwanda.

Hivi makamba anafahamu kuwa Tanzania sio CCM? kwanini asivae busara za kusubiri wenye dhamana kututhibitishia hilo

sijui wewe mwenzangu una mtazamo gani juu ya hoja za CCM, makamba na uporaji wa kazi za serikali
 
Back
Top Bottom