Ccm imetwaa mamlaka ya uhamiaji?

Mtotowamwisho

New Member
Aug 19, 2010
3
0
Issue ya bashe na uraia wa Somalia iliyoubuka kutokana na mizengwe ya kamati kuu ya CCM, imenisukuma niandike hii hoja ili tuijadili kwa kina

Mara kadhaa makamba amekuwaakitetea hoja kuwa yeye si raia licha ya kutoa documents za kusapoti uraia wake

Kinachonishangaza ni kwanini makamba aukane uraia wa bashe, ili hali yeye si mwenye dhamana ya kuthibitishga uraia wa mtu kwenye hii nchi, anaenda mmbali kwa kumtetea yule chaguo lao kuwa ni Mtanzania licha ya ordan za serikali kufanyia kazi sula hilo.

sijui wewe mwenzangu una mtazamo gani juu ya hoja za CCM, makamba na uporaji wa kazi za serikali
 
Walichokifanya ni uhuni hakuna maana nyingine zaidi ya hiyo.
 
CCM wana mbinu nyingi za kum'termiante mtu katika siasa.
Moja ya njia hizo nio hilo swala la uraia(Muulize Jenerali Ulimwengu)
Ikishindikana kabisa wanakutoa.........
 
CCM wana mbinu nyingi za kum'termiante mtu katika siasa.
Moja ya njia hizo nio hilo swala la uraia(Muulize Jenerali Ulimwengu)
Ikishindikana kabisa wanakutoa.........

This has always been CCM's tactic hakuna jipya. Wababe wanaowachagulia wananchi viongozi, kuficha maovu yao.

Dawa yao imefika....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom