CCM imeshindwa kutawala nchi , nchi imeyumba sana. Lema

Hangover za valuer na uenyeji wako humu:

MemberArray

Join Date : 27th January 2012
Posts : 46
Rep Power : 310

Umefukuzwa jahazi modern?manake naona umeamua kuhamishia mipasho humu. Ila bahati mbaya taarab is for you and your fellow gays and JF is for Great thinkers
 
Hivi Lema anajua nini kuhusu nchi hii zaidi ya kujua mipango ya w**i wa magari. Si mwanasiasa huyu ni mlopokaji tu na mtaalamu wa unyang'anyi.

Naona umekurupuka chooni baada ya kusikia hilo jina LEMA. Umekumbuka kutawadha mku u. Manake nahisi kijiharufu flani kimeanza ghafla. Au ni huyo ndugu yako eti rais wa migomo. Manake naye alikuwa anaharisha sana. Msimwogope lema kiasi hicho jamani alisha wasamehe
 
watu wa arusha kwa sasa wanalalamika hali ngumu ya maisha kutokana na migogoro inayosababaishwa na LEMA.wanajutia kura zao za mwaka 2010 kwamba hawatarudia makosa na wanamuomba mungu awasamehe.wanasema ili kuthibisha hilo wataanza na uchaguzi wa kata nne za madiwani waliofukuzwa.
.

wewe mnafiki na muongo, hali ngumu ya maisha iko kila sehemu nchi hii, mbona Dar kuna hali ngumu ya maisha na wakati Ikulu imo hapopo, au hata huko inasababishwa na Lema?

Kwa hiyo unamaana mikoa yenye wabunge wa sisiemu na haina migogoro hali ya maisha ni nzuri sio? kwakuwa hao wabunge wanapita nyumba kwa nyumba kugawa unga na mboga? au vijana wote vijiweni wamepewa ajira, wanafunzi wanao maliza vyuo wanauhakika wa ajira, madaktari wa huko wanalipwa vizuri, shule zote za kata za huko zinawalimu wa kutosha?
 
Lema hana siasa za ubabaishaji, kama za kina rafiki zangu (magamba na Nepi wao) Lema ana twangwa kote kote. Viva kamanda, ukweli daima.
 
hivi lema anajua nini kuhusu nchi hii zaidi ya kujua mipango ya w**i wa magari. Si mwanasiasa huyu ni mlopokaji tu na mtaalamu wa unyang'anyi.

nachukia sana watu wasiotaka kutake -risk ktk kutafuta mabadiliko kama ww!!chambua mada,zombe ana ugonjwa wa akili kipindi kirefu tuu!!hujajua??
 
Nadhani kila mtu tayari ameshanawa mikono na sasa tuanze kuila sura ya JK coz kuna watu walimchagua eti ni handsome!
 
watu wa arusha kwa sasa wanalalamika hali ngumu ya maisha kutokana na migogoro inayosababaishwa na LEMA.wanajutia kura zao za mwaka 2010 kwamba hawatarudia makosa na wanamuomba mungu awasamehe.wanasema ili kuthibisha hilo wataanza na uchaguzi wa kata nne za madiwani waliofukuzwa.
Ni mwendawazimu tu ndiyo anaweza kusema hilo kwanza jiulize kama watu wa Arusha wana lalamika maisha magumu ni mkoa gani hawalalamiki je maisha Dar ni bora kuliko Arusha juzi ni kuwa huko nilishangaa nyanya moja eti 300 wakati arusha 100, Nyama 7500 wakati Arusha 5500 mboga za majani ambalo ndiko kimbilio la wengi haishikiki mboga fungu 500 wakati huku Arusha tunanunua kwa 100 watu wa dar wamechagua maharage ndiyo mboga kuu si kwasabau wana penda ni maisha magumu..utue huo mzingo wa upumbavu....ilikuthibitisha kuwa chadema inaungwa mkono kwa maamzi yake ya kuwafukuza wale madiwani mpka leo hii kawajulikani hata walipo baada ya kugundulika wachukua mlungula kutoka kwa magamba...wanaishi kama popo kwa dhambi ya kuwasariti wana-Arusha
 
Hivi Lema anajua nini kuhusu nchi hii zaidi ya kujua mipango ya w**i wa magari. Si mwanasiasa huyu ni mlopokaji tu na mtaalamu wa unyang'anyi.
hii ni sababu nyingine ya kuiondoa serikali hii legelege imeshindwa kuthibitisha uwizi Godbless lema na kwanini hawamkamati....
 
Lema! Lema! Lema kabla sijacomment nikushauri uanze kuchukua masomo ya jioni' mi nadhani pamoja na kuwa mpiga kura wako ila wewe ni tatizo aisee lakini labda kwa kuwa umeona Serikali imekuwa kero, kuna wenzio wanaanda hoja zao binafsi kuhusiana na mambo mbali mbali ili kuziwakilisha katika kikao kinachoanza kesho mi nadhani nawe pia ufanye hivyo kuliko hayo makelele we chukua jukumu la kutulia invoke Ibara za Katiba peleka hoja Bungeni jitahidi kuconvc wenzio ili President awe Impeached ila kwa lugha yako eti "mpaka kieleweke" bado sana nchi hii. Unakumbuka pale NMC uwanjani mlijidahi mpaka kieleweke mwishowe unajua kilichiendelea.......

Na jitahidi na wewe kusema chochote kuhusu posho za wabunge manake hapo ndipo mtu kama Zitto anapokuudhi sana embu sema lolote katika hotuba zako bana! Haya mengine ya humu mkoani tutajitahidi tu kugangamala mpaka 2015!
 
watu wa arusha kwa sasa wanalalamika hali ngumu ya maisha kutokana na migogoro inayosababaishwa na LEMA.wanajutia kura zao za mwaka 2010 kwamba hawatarudia makosa na wanamuomba mungu awasamehe.wanasema ili kuthibisha hilo wataanza na uchaguzi wa kata nne za madiwani waliofukuzwa.
We chizi kweli! unaijua Arusha< a.k.a A Town. Huku tuko A.
 
nilitaka kukujibu kwa ukali lakini nimegundua wala hauko Arusha na wala wewe si mfatiliaji wa mambo ya siasa pamoja na kwamba umejiita mpiga kura wake inaelekea hujui alichokifanya mbuge wako.....kama ni tamko la hizo posha alisha toa na liliwekwa hapa jamvini kuhusiana na hoja nikuulize je unataarifa kuwa General tyre inaanza ku-operate karibuni maana ilitakiwa kuanza tangu Jan 17 basi ujue ni juhudi za mbunge wako kama unavyo taka kusomeka.....
 
Ile kauli yao ya CDM ni chama cha msimu wameacha..sasa hivi wamegeuka na wanasema "Jamani baada ya uchaguzi,siasa tunaweka chini tunatekeleza ilani iliyochaguliwa" magamba wameshikwa pabaya...

hapa hakuna kuweka silaha chin wala cha msalie mtume, wamelivurunda na walile mpaka walimalize, wametuchoshaaaa!
 
Ukitaka kujua tofauti ya mtu mwenye elimu na asie na elimu basi tazama tabia za Lema na sugu halafu tazama tabia ya Zitto na mnyika.
 
watu wa arusha kwa sasa wanalalamika hali ngumu ya maisha kutokana na migogoro inayosababaishwa na LEMA.wanajutia kura zao za mwaka 2010 kwamba hawatarudia makosa na wanamuomba mungu awasamehe.wanasema ili kuthibisha hilo wataanza na uchaguzi wa kata nne za madiwani waliofukuzwa.

Mnasubiri mwaka 2015 ndio aondoke!? Ilikuaje mkashindwa kumuondoa kwa ile kesi ya kupinga matokeo????
 
watu wa arusha kwa sasa wanalalamika hali ngumu ya maisha kutokana na migogoro inayosababaishwa na LEMA.wanajutia kura zao za mwaka 2010 kwamba hawatarudia makosa na wanamuomba mungu awasamehe.wanasema ili kuthibisha hilo wataanza na uchaguzi wa kata nne za madiwani waliofukuzwa.

mimi nipo arusha wewe unasema wanajuta kumpa lema kula zao sasa jaribu uone mlete kiongozi wa magamba aitishe mkutano na wakati huo huo lema aitishe mkutano utaona nani atakayekuwa na watu wengi na pia atakayesikilizwa na watu kwa umakini huku kukiwa na muonekano wa matumaini
 
Jana jumapili katika mkutano wa hadhara maeneo ya kijitonyama kwa Ali Maua , Mbunge wa Arusha mjini alihutubia maelefu ya wakazi wa Dar akiwa pamoja na viongozi wengine wa Chadema wa Mkoa wa Dar *( Henry Kilewo ) . Mb huyo amesema kuwa Tanzania kwa sasa inaishi kwa faraja inayotokana na uoga kwani hali ya maisha ilivyo kulikuwa hakuna sababu ya kusubiri kufika mwaka 2015 , akiongea kwa uchungu Mh Lema alisema, Ni aibu kubwa Rais kuacha mgomo wa Madaktari nchini na kwenda nje ya Nchi na akifananisha na hali hiyo ni sawa na kijana kumuacha mke wake hosipitalini akisubiri upasuaji wa uzazi na kwenda bar kucheza Pool table , Viongozi wa Taifa hii wamekosa huruma kabisa , maisha yamekuwa magumu sana , watu hawana amani tena na maisha , kwani kesho imekuwa ya mashaka zaidi kuliko leo , lakini nyie watu wa Dar mnaendelea kutumika na chama tawala katika kuendeleza mateso haya Tanzania , hawa watu wametawala miaka 50 lakini bado wameshindwa kutoa dira ya maisha bora kwa watanzania tena ndani ya nchi yenye rasilimali tele , Arusha , Mbeya , Mwanza , Shy, wananchi wameamua na wanahitaji ukombozi , na sasa tumeanza mikutano Dar *operation maalumu tunayoita *" operation ondoa CCM Dar " tumesema sasa tutaingia kila kitongoji mpaka kieleweke.

Naye Mbunge wa Mbeya mjini Mh Sugu amesema ni aibu watu wa Dar wanaojiita wajanja na wanaishi makao makuu ya Nchi kushindwa kuwa chachu ya mabadiliko katika taifa letu. Huku Katibu wa Mkoa wa kinondoni ndg Henry Kilewo akisisitiza kufanya operation ya kuamsha Dar mpaka kieleweke na kuwataka wananchi wa Dar kuwatia moyo madaktari wanaopigania haki zao na kuitaka serikali kuchukua hatua za kuzingatia masilahi ya madaktari na sio vitisho.
Dar imejaa watu waoga na wapenda kulalama!
 
Ukitaka kujua tofauti ya mtu mwenye elimu na asie na elimu basi tazama tabia za Lema na sugu halafu tazama tabia ya Zitto na mnyika.

Tofauti zao zikowapi??mbona kikwete ana degree lakini aibu tupu huko davos!
 
Nadhani kila mtu tayari ameshanawa mikono na sasa tuanze kuila sura ya JK coz kuna watu walimchagua eti ni handsome!

dah! Mkuu, sema tu natumia mobil phone isiyoonesha kitufe cha laik, vinginevye ungechafuka ma laik mpaka ushangae. Yaan hii sura ni ya kulumangia na ugal kabisa
 
Back
Top Bottom