CCM imelewa mvinyo wa madaraka

Ground Zero

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
342
95
Tukio la hivi karibuni la serikali ya ccm kupeleka muswada wa kununua mitumba inadhihirisha kwamba chama kimeshuka bei.kimekosa msimamo kama zamani. Chama kinayumba na hiyo ni hatari kwa sababu hata wapenzi wake wameanza kukosa imani nacho. CCM inahitaji mapinduzi
 
Back
Top Bottom