CCM imejaribu, imeshindwa, imerudi nyuma

Mpanzi

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
785
440
Baada ya CCM kushindwa kuvua watu magamba na kurudisha hoja CC inaonyesha hata wananchi tukikomaa muswada kandamizi wa mabadiliko ya katiba utarudi bungeni.
 
Jamaa wa Twaweza au Hakielimu wamelibadilisha

Tumejaribu,Tumeweza kidogo,Tunajitahidi hili tuje tusonge mbele
 
c.c.m maviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!...............maviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!wamgwaya Lowasa na chenge wanabaki kukzugazuga tu, na Nepi wao.
 
Maandamano kama ya wamisri! Polisi watapiga risasi watachoka!
wale wa Misri wanaume kweli sio wewe kidemu hapo ukisikia risasi unakimbilia uvunguni mwa kitanda. Hayo unayosema niwachache sana tunayoweza kufanya. wengi wenu hamna kitu. Unabisha? Je upo tayari kuacha ugali kama mimi? Msiwe mnasema tu. Jaribu.
 
Nauliza huyu CCM atakata roho lini?maana kwa kitendo hiki cha kuogopa kuyavua magamba ni jinsi hiyo hiyo wameshindwa kuyashughulikia matatizo ya Nchi hii.
 
Back
Top Bottom