CCM imejaa vilaza kweli! Felister Bura (Mb) viti mauulum mkoa wa Dodoma

Huyu mama ni kilaza balaa. Leo katumia muda mwingi kuponda UDOM. Amedhihirisha ukweli kuwa CCM inawezekana waangalia sifa ya ukilaza katika kugawiana nafasi za utawala hasa hawa viti maalum.

Kaponda sana maandamano kuwa yanasababishwa na UDOM. Kasema upuuzi mwingi na anaendelea sasa kilaza mwingine anayewasilisha kuwa TZ haiwezi kuendelea kutokana na madini yake. Ni hatari. Tena huyu ni Dr

Hapo kwenye RED Hajawahi kuwa Dr....................But huenda alikuwa na hasira maana hata mwanae kafukuzwa anasoma pale mwaka wa pili
 
hizo ndio faida ya kupeana vyeo bila kujali uwezo na dhamira ya kweli kuwatumikia wananchi maskini
 
mbona hawakumbushi kipindi kile Sitta na wenzake walivyodai mkate wenye siagi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom