CCM imefulia sana

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,503
19,342
haina watu intellectuals wala heavyweight communicators kama Malecela, Nyerere au watu wengine wenye mvuto kwa kiwango cha Slaa. Wanadhani kuwa pesa zao ndio ngao, ng'o! Pesa twawala, na kura twawala pia.
 
haina watu intelectualsa wala heavywehight communicators kama malecela, nyerere au watu wengine wenye nvuto kwa kiwango cha slaa. Wanadhani kuwa pesa zao ndio ngao, ng'o! Pesa twawala, na kura twawala pia.

na hili ndiyo kosa kubwa sana walilofanya ccm, kuweka bei kila kitu sasa inawatafuna. Hata hao mawakala wao sidhani kama itakuwa ni wale ccm damu, bali itafanywa kifisadi kuhusisha ndugu na jamaa wa makada wa ccm ambao wanaweza hata wasimpigie kura jk.
 
Kwa hiyo mambo mdundo mmoja: pesa twawala na kura twawala
 
Tena bado, inafaa sana mawakala wa ccm wawe mapandikizi wa Chadema ili waone peoplessss powerrrrrrrrrrr.
 
Back
Top Bottom