CCM imefanya vizuri mikoa yenye wengi wasio na Elimu, napongeza strategists wao

Wakuu ni lazima niwasifu sana strategists wa CCM. Unajua siku zote ukipambana na adui aanza kwanza kupiga kwenye weak points the nenda kwenye zile zenye nguvu. CCM waliona mbali sana kwa hilo na waliwekeza zaidi kwenye kampnei yao katika maeneo hayo. Kuna watu Tanzania mpaka leo hawajui EPA hawajui maana ya mafisadi na hwajui lolote. Naona tatizo ni kuwa Chadema walitegemea zaidi kwenye mikoa ambayo ina watu wengi wenye elimu na wenye hali ahueni kiuchumi. Inawezekana sasa watakuwa wamepata somo, sio Chadema tu opposition wote inabidi wajifunze kutoka kwa CCM.

hata Dar es salaam ukiangalia kwenye wilaya, maeneo na sehemu zenye watu wengi waliochoka utagundua kuwa CCM imefanya vizuri lakini kwenye sehemu ambazo kuna wenye elimu kidogo na wenye uwezo wa kiuchumi kidogo kuna tatizo. Siku nyingine ukitokea uchaguzi ni lazima vyama viige mbinu ya CCM


Bahati mbaya Malaria sungu alituficha siri hii. sasa nasubiri malaria sugu aje na kuanza kushusha madongo yake.

Kigoma ambako upinzani umeongoza kuchukuwa viti wana elimu kubwa?!! Kwa mtaji huu hamtafika mbali kwavile bado hamjafahamu siri ya ushindi wa CCM!!!!
 
Na kwa vile ccm inategemea ujinga wa watanzania kukaa madarakani,hivyo nadhani wana mkakati wa muda mrefu wa kutufanya wajinga zaidi hata umu naona wapo wengi tu waathirika wa hiyo mikakati.Ila naamini kupitia humu mtaelimika tu.
 
Back
Top Bottom