CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

Mimi mwana CCM Kindakindaki naapa kuwa nitampigia kura EDWARD NGOYAI LOWASSA anayeiwakilisha CHADEMA kupitia mwamvuli wa Muungano wa vyama vya UKAWA. Kama kuna wakati ambapo CCM inahitaji kujipanga vyema na kurekebisha mapungufu yaliyopo wakati huo ndio sasa.Kwa yeyote anayeipenda CCM kama mimi,naomba kwa Moyo Mkunjufu tuiweke CCM pembeni ili ikajikague,ikajitafakari na kisha ijipange kwa ajili ya 2020 - 2025.Gari ama mashine yeyote ile hata iwe "tingatinga" ikiharibika sharti iwekwe pembeni ili ifanyiwe marekebisho muhimu.Ukiilazimisha iendelee na kazi ama iendelee na safari madhara yake ni makubwa sana kwa abiria,mazingira na hata watu waliokaribu na mashine hiyo!!Kataa vitisho,kataa kununuliwa kama bidhaa,kataa uchochezi,kataa ahadi hewa zisizotekelezeka,kataa michezo michafu ya Kisiasa...Jiandae kupiga kura yako kwa Diwani,Mbunge na Rais wa UKAWA.....MUNGU ibariki TANZANIA na watu wake wote!!
 
Ni kukweli usiopingika,hapa JF Mccm kibao ila mitaani naona ajabu kuu,sioni mtu kuisifu wala kuzungumzia CCM kila mtu mara hii UKAWA ,kweli wananchi wameichoka CCM na sasa wanataka mabadiliko ,na mabadiliko yako UKAWA CCM ni yaleyale !

25 tarehe mwezi huu wa kumi tunawabana pumzi CCM ,na tunahakikisha koromeo halipati hewa ! Ole wako uletwe na lori utakumbuka mikutano ya Magufuli.
 
hata tawi la chama mtaa huo hakuna...au viroba vya mchana jua kali vinakusumbua..
 
Ccm hamjui thamani ya kura zetu,

hamjui tunapowapa kura mahitaji yetu ni nini sisi kama wananchi, tunahitaji tupate huduma bora za kijamii; Elimu bora, makazi bora, miundombinu bora n.k.

kwa miaka mingi mmekaa madarakani, lakini hatujaona mkifanikisha hata kimoja kati ya nilivyoviorodhesha.

Mkubwa anadanganywa lakini si kwa pipi, mabadiliko ni lazima.

Mungu Ibariki Tanzania.

youngsharo
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Hakuna ubishi, Chadema imenyanyuka, toka wabunge 5 mpaka 22 wa kuchaguliwa tena majimbo ya haja, huku sio kukua bali ni kupaa, tatizo kubwa la Chadema, bado hawajipanga.

Kichama, wanachadema mkubali msikubali, chama chenu japo kipo juu, lakini bado hamjajipanga kwa sura ya kitaifa.
Kwa vile CCM imekaa mkao wa kifo, hii ndio opportunity yenu kujipanga muwe na sura ya kitaifa, Watanzania wawamini wawakabidhi nchi mwaka 2015.

ni matumaini yangu, 2015 kazi itakamilishwa!
With just two days to go, there is nothing new to say, yote yameishasemwa, sasa imebaki kukumbushana tuu, tulisema nini, nini kimefanyika, uchaguzi ndio keshokutwa Jumapili, nini kitafanyika siku hiyo, na baada ya hapo, tukutane tena wiki ijayo, au tupongezane, au tupeane pole!.

Nchi hii inaweza tuu kubadilishwa kwa watu wenye uthubutu wa kuchukua maamuzi magumu, na kusimama wahesabiwe!.

I'm very proud kuwa ni mmoja wa wapiga kura hiyo Jumapili.

Haya shime kwa wote waliojiandikisha, tujitokeze kwa wingi, tuitumie haki yetu ya kidemokrasia kujichagulia viongozi wetu,

We have to choose our leaders and love our choices and live with or without!.

Pasco
 
Mwenye maamuzi magumu ambaye kwake kuondoa ufisadi ni jambo gumu????
 
Hakuna nchi ya kuongozwa na wakwepa kodi Chadema.

Nchi yetu siyo kiwanja cha majaribio mpaka waachiwe watu wasiojielewa
 
Kumekua na Propaganda nyingi kwamba ccm inapendwa na watanzania walio wengi. Lakn kila nikijiuliza maswali kadhaa nakosa majibu. Mfano magazet yao Yote ya uhuru publishers hafanyi vizuri.
Tuliona wafanyakazi wakikosa mshara kwa miez saba. Mpaka rais alienda kuingilia kati. Sijui kama watakua wamesaidiwa na serikali kujikwamua maana sion namna ya kukaa imara katika soko la magazet kwa sasa . Swali langu kama wana ccm tanzania wako wengi na wanakipenda chama chao kwanini wasinunue gazet lao??

Nenda hata TV ya taiafa TBC haifanyi vizur japo ni ya serikali lakn yote inatokana na kuegemea chama tawala . Imefikia hatua mpaka viongoz wanashinda clouds wakitegemea kupitia tv hiyo na radio hiyo ujumbe utawafikia wengi. Kwanini vyombe vyao vidorole wangali wanavipenda na ni wengi???

Kiukweli ccm imechoka. Ila hizi za kusema watanzania wana imani na ccm ni propaganda tu.

Propaganda zao naziringanisha na propaganda za aliyekuwa waziri wa Sadam hussein enz zao mheshimiwa Muhammad saeed al-sahhaf.

Wenzangu mnamkumbuka yule waziri na vituko vyake? Kila mara ni kujitia moyo , Iraq iko imara jeshi la Marekan halitafanya chochote mpaka wanamkaba koo ndio akaacha uongo wake.

Ccm je bado mnakubalika kwa mwendo huu??
 
Sioni watatokaje kwa style hiyo!
 
Ccm ni chama ambacho kilisha pitwa na wakati.
Na ndio maana mtu ukiwa upo ccm watu wanaanza kuhoji kwanza uelewa wako.
 
Back
Top Bottom