Ccm imechelewa sana: Ni aibu kwa karne hii

UWEZO_WAKO

Member
Nov 17, 2010
39
4
Kuhusu suala la Nishati nchini, Mukama alisema NEC imeiagiza Serikali kuhakikisha kuwa inapunguza bei za mafuta na hasa ya taa ambayo yanatumiwa na wananchi wengi wenye kipato cha chini. Chanzo mwananchi 26 Nov 2011



KARNE YA 21 BADO WANANCHI WALIO WENGI WANATUMIA MAFUTA YA TAA KWA AJILI YA TAA? NI KWELI TUMESHINDWA KUWATOA WATU WETU KUTOKA KATIKA ADHA YA KUTUMIA MWANGA WA VIBATARI NA TAA ZA CHEMLI UNAHARIBU MACHO AFYA NA MAZINGIRA.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom