segwanga
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,789
- 729
Chama cha mapinduzi kina sera endelevu ndio maana kinazidi endelea kupeta kwenye zama hizi za siasa za ushindani.
Nianzie karibu ili nisiwachoshe.JK aliingia kwa gia iliyokuwa ikisomeka kuwa ARI MPYA,NGUVU MPYA NA KASI MPYA.Hiyo ilikuwa inalenga si sehemu nyingine zaid ya kuteka akili za watanzania kwa ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya.Kama una kumbukumbu JK alimfunika Ben mpaka watu wakawa wanafikiria kwamba kwa nini jk asingeteuliwa 95.Nakumbuka mzee rukhusa aliwahi kusema vijana wapunguze kasi vinginevyo watawaacha nyuma wazee.Umekuja uchaguzi uliopita JK akaja kitu endelevu cha NGUVU ZAIDI,ARI ZAIDI NA KASI ZAIDI.Matokeo yake hicho kitu yako wazi.
1.Ushindi ni lazima hata kwa kuchakachua
2.Bunge lililojipanga zaidi kutetea chama kwa namna yoyote ile ikiwezekana spika awe mwanamama machachari aliyebatizwa kwa jina la chama
3.Kwa sababu chama kimechafuka(kwa mjibu wa wananchi na wapinzani) basi sio vibaya kujivua gamba lakn si kwa mtazamo wa wananchi.Tutoe makamba na tuweke mtaalam mkama na jembe la kueneza sera Nnauye Jr.Jembe hili damu inachemka litasaidie kuwapigia kelele mafisadi,siku 90 watapotezewa.
Hicho ndicho chama kikongwe vijana wa JF siku hizi wanakiita chama cha magamba