CCM Walitueleza Watanzania Tushikane Mikono na Wao Kutafuta Mapinduzi ya Ukoloni. Sasa Mapinduzi Mengine Wameyaleta Baada ya Mkuloni Kuondoka:
- Kuongeza Mafisadi Tanzania
- Kuongezeka Kwa Rushwa
- Kuongezeka kwa Matabaka Tanzania
- Kuelimisha Familia Chache
- Kuongezea Ajira kwa Wachache
- Kuongeza Ukandamizaji kwa Wananchi
- Kudumisha Huduma ya Afya kwa Wachache
- Kuhakikisha Hakuna Haki kwa Kila Mtanzania