CCM iko kugawa Hela kwa akina Mama Bar ya Transit iliyoko Leganga Arumeru

Mubaki hapo hapo eneo la tukio basi, ingawaje ushahidi wa suala kama hili ni mgumu!!
Mzee Manywele in the best of his action!
 
Watieni hatiani hawa wamama maana sheria inasema mtoaji na mpokeaji waote ni sawa. Hao akina mama hawaijui hii sheria mkiwakamata wataogopa hawtachukua tena hizo hela.
 
****_KURU watatinga hapo jioni kabisa. Mnachotakiwa kufanya ni kuwa kutoa taarifa kuwa Chadema ndio wanagawa rushwa ili Takukuru waje fasta halafu wakute ni jamaa zao ndio wanaogawa na nyie mnawakomalia lazima wakamate...
 
Habari za uhakika,CCM iko kugawa rushwa kwa akina Mama wa CCM kutoka vijiji mbalimbali vya Arumeru.Taarifa tumesha ipeleka polisi wafuatikie...
Nawasilisha...
msitarajie polisi watachukua hatua yoyote ya maana. kama mnaweza wavizieni, wakamateni red handed na hapo ndio muwafikishe polisi
 
hongera CCM kama kweli mnagawa PESA,Heri kugawa PESA kuliko kuchangisha PESA ili ziliwe na MALAYA a.k.a MCHUMBA wa bw.SLAA na vimada wa viongozi wa CDM
 
Polisi watawapigia simu hao jamaa wanaogawa pesa kwamba ondokeni kabla hatujafika hapo!
 
Habari za uhakika,CCM iko kugawa rushwa kwa akina Mama wa CCM kutoka vijiji mbalimbali vya Arumeru.Taarifa tumesha ipeleka polisi wafuatikie...
Nawasilisha...

Sioni tatizo maana wanagawa kwa wa mama wa CCM! Ingekuwa wanagawa kwa wa mama wa CDM hapo ingeweza kuwa ni hongo!!!!
 
jamani msiziache hizo pesa ni zetu sisi wenyewe walipa kodi, chukueni lakini siku ya kura jifanye umekosea kupga kura
 
Safi sana mmepeleka taarifa mahali husika
I see, mahali husika polisi? Hawa polisi wa CCM au ni polisi gani walikopeleka taarifa? Yaani bora wangewakurupua tu moja kwa moja badala ya kusubiri taarifa za polisi, maana polisi watakuja hapo saa kumi na mbili jioni baada ya ugawaji kuisha. hapo ilikuwa ni kuwazukia na kuwakamata wenyewe.
 
hongera CCM kama kweli mnagawa PESA,Heri kugawa PESA kuliko kuchangisha PESA ili ziliwe na MALAYA a.k.a MCHUMBA wa bw.SLAA na vimada wa viongozi wa CDM
CCM wote akili zenu zinafanana, hakuna hata mmoja mwenye unafuu. Akili mlizonazo ndiyo kama za akina Wassira, Lusinde na Mary Nagu. Hovyohovyo tu kama wagonjwa walio kwenye wodi la vichaa.
 
Mnakosea sana sana kuwapeleka polis, yaani kesi ya nyani unampelekea tumbili? unategemea watasemaje? you have to act on spot without any delay
 
****_KURU watatinga hapo jioni kabisa. Mnachotakiwa kufanya ni kuwa kutoa taarifa kuwa Chadema ndio wanagawa rushwa ili Takukuru waje fasta halafu wakute ni jamaa zao ndio wanaogawa na nyie mnawakomalia lazima wakamate...
Hii imetulia na nimeipenda sana.
 
Habari za uhakika,CCM iko kugawa rushwa kwa akina Mama wa CCM kutoka vijiji mbalimbali vya Arumeru.Taarifa tumesha ipeleka polisi wafuatikie...
Nawasilisha...

.
Wape hii namba yangu 075676994 wanitumie na mimi kwenye m-pesa. Pesa nitazila maani ni kodi zetu wanaturudishia lakini kura yangu siwapi.
HAIYUMKINIKI ANAETAKA KUNIONGOZA ANINUNUE ILHALI MIE NINAEONGOZWA NDIE NAPASWA NIMLIPE MSHAHARA WAKE.
.
 
mi naona wazee mngewatembezea kichapo 2 cha kufa m2 ikiwezekana wengine wao wakalazwe kabisa ma hospitalini mpaka uchaguzi utakapoisha nafikiri ivo ndivyo mtakavyoweza kudhibiti izo rushwa zao polisi hawana msaada juu ya ilo as ushahidi upo katika chaguzi nyingi zilizopita ccm wakikamatwa asubuhi jioni wako mtaani tena na kuendelea na ugawaji wa izo pesa zao za kifisadi
 
Huyo mjinga anayesema cdm wanachangisha pesa za madem wao,ccm imechangisha miaka yote imefanya nini,huyu mtu akili yake haina akili,kama kuna mtz anayeiunga mkono ccm basi ni mgonjwa tena anaumwa ngoma iliyo kwenye hatua za mwisho ALAANIWE
 
Back
Top Bottom