CCM Ifutwe.

Ehud

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
2,685
337
Baada ya kutafakari sana yanayojiri nchini nimegundua matatizo mengi yanayoikumba nchi yetu ya Tanzania kwa sasa kwa namna moja ama nyingine yametokana na CCM. Hii ni kutokana na ukweli kuwa viongozi wote waliolifisidi/wanaolifisidi taifa kama vile JK,EL,RA,Mramba,Mkapa,Karamagi, n.k ama wametokana na CCM au ni watu waliotufikisha hapa tulipo kwa kupitia mgongo wa CCM.

Ikumbukwe kuwa CCM ilikuwa na ahadi zake nzuri tu kama vile "rushwa kwangu ni mwiko sitapokea wala kutoa rushwa" na pia chama hicho hapo kale kilijikita kwenye kusaidia wananchi lakini kwa sasa kipo zaidi kusaidia wezi wa mali ya umma na wawekezaji wa kigeni hivyo kwa mtaji huu chama hiki kimepoteza sifa zote za kuiongoza nchi yetu ya Tanzania na hivyo wakati umefika wa kukifuta ili tuanze upya kabisa bila chembe chembe za u-ccm. Nawakilisha
 
CCM mjomba kwa sasa ni chaka la wezi - wengi wamejificha humo kwa maslahi yao binafsi kwa mfano: -

CCM imefanikisha yafuatayo
1. UFISADI - kUUA ATC, TRL na sekta ya Madini
2. WIZI wa mali za umma - EPA, ubinafishaji mbovu
3. Ubabaishaji kwenye secta Elimu ambayo ni KEY kwa kila nchi inayotaka maendeleo ya watu wake
4. Uwongo Mkubwa kwenye sekta ya KILIMO - kuja na kauli mbiu zisizotekelezeka

CCM ni chama cha kisanii - hakina DIRA wala MWELEKEO - RIP (Kolimba), ulisema na maneno yako yatasimama mbele ya haki.

Kuendelea kuwa ndani ya CCM ni sawa na kukubali umaskini kama na wewe si mwizi kama wao.
 
UPO SAWA KABISA MKUU TUNASUBIRI CDM KWANZA WAKAMILISHE KAZI YAO,HALAFU MOTO UTAWAKA TU,CCM LAZIMA WAKUBALI MATOKEO?:rain:

Baada ya kutafakari sana yanayojiri nchini nimegundua matatizo mengi yanayoikumba nchi yetu ya Tanzania kwa sasa kwa namna moja ama nyingine yametokana na CCM. Hii ni kutokana na ukweli kuwa viongozi wote waliolifisidi/wanaolifisidi taifa kama vile JK,EL,RA,Mramba,Mkapa,Karamagi, n.k ama wametokana na CCM au ni watu waliotufikisha hapa tulipo kwa kupitia mgongo wa CCM.

Ikumbukwe kuwa CCM ilikuwa na ahadi zake nzuri tu kama vile "rushwa kwangu ni mwiko sitapokea wala kutoa rushwa" na pia chama hicho hapo kale kilijikita kwenye kusaidia wananchi lakini kwa sasa kipo zaidi kusaidia wezi wa mali ya umma na wawekezaji wa kigeni hivyo kwa mtaji huu chama hiki kimepoteza sifa zote za kuiongoza nchi yetu ya Tanzania na hivyo wakati umefika wa kukifuta ili tuanze upya kabisa bila chembe chembe za u-ccm. Nawakilisha
 
naunga mkono hoja na THREAD kwa ujumla wake...!

btw upo mkuu?
kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
nani aifute????? Tendwa? Mwema? au nani ...kwa vile sasa kila mTZ kashituka kuwa CCM hawataki kukiri kuwa wanatuongoza kuelekea kwenye MAANGAMIZI, ufutwaji wake ndio umeshachukua kasi kanda ya ziwa. Nategemea nawe ni miongomi mwa wafutaji pia maana ukisubiri utaratibu tunaoujua watakaa miaka 50 mingine
 
atuwezi kuifuta kwa ufutio kunaitajika nguvu ya umma bila hilo sahau kwanjia ya kura kamwe aliwezekani kwani niwachakachuaji akuna tena ni nguvu ya umma tu vinginevyo wapimgane wenyewe waanzishe ccm b ambayo aitakuwa na msaada nasi
 
Natamani hiyo CCM ingekuwa inafutwa mwaka huu maana tunakoelekea cko kila kukicha bora ya jana
 
chadema chama changu
slaa rais wangu

siitambui ccm na raic wake!!
 
Baada ya kutafakari sana yanayojiri nchini nimegundua matatizo mengi yanayoikumba nchi yetu ya Tanzania kwa sasa kwa namna moja ama nyingine yametokana na CCM. Hii ni kutokana na ukweli kuwa viongozi wote waliolifisidi/wanaolifisidi taifa kama vile JK,EL,RA,Mramba,Mkapa,Karamagi, n.k ama wametokana na CCM au ni watu waliotufikisha hapa tulipo kwa kupitia mgongo wa CCM.

Ikumbukwe kuwa CCM ilikuwa na ahadi zake nzuri tu kama vile "rushwa kwangu ni mwiko sitapokea wala kutoa rushwa" na pia chama hicho hapo kale kilijikita kwenye kusaidia wananchi lakini kwa sasa kipo zaidi kusaidia wezi wa mali ya umma na wawekezaji wa kigeni hivyo kwa mtaji huu chama hiki kimepoteza sifa zote za kuiongoza nchi yetu ya Tanzania na hivyo wakati umefika wa kukifuta ili tuanze upya kabisa bila chembe chembe za u-ccm. Nawakilisha

Umetumwa?

Hivi wewe hujatoka CCM? Kama si wewe, kaulize wazee wako! Unaweza achiwa radhi.
 
me naiombea mema na mafanikio CDM,na i hope itashka hatamu!! Dr.Slaa (our real president) ukingia madarakani hawa mafisadi na waliohujumu uchumi wa nchi yetu wote wapeleke jela or wanyongwe! Kuanzia mmiliki wa kagoda(mkapa na wapambe wake) dowans(kikwete na wapambe wake)! Hadi sasa wanazidi kuitafuna mali ya umma!!
 
Ccm iwekwe kwenye chupa itumbukizwe katikati ya bahari ya PACIFIC maana ni chukizo kwa watanzania.
 
Baada ya kutafakari sana yanayojiri nchini nimegundua matatizo mengi yanayoikumba nchi yetu ya Tanzania kwa sasa kwa namna moja ama nyingine yametokana na CCM. Hii ni kutokana na ukweli kuwa viongozi wote waliolifisidi/wanaolifisidi taifa kama vile JK,EL,RA,Mramba,Mkapa,Karamagi, n.k ama wametokana na CCM au ni watu waliotufikisha hapa tulipo kwa kupitia mgongo wa CCM.

Ikumbukwe kuwa CCM ilikuwa na ahadi zake nzuri tu kama vile "rushwa kwangu ni mwiko sitapokea wala kutoa rushwa" na pia chama hicho hapo kale kilijikita kwenye kusaidia wananchi lakini kwa sasa kipo zaidi kusaidia wezi wa mali ya umma na wawekezaji wa kigeni hivyo kwa mtaji huu chama hiki kimepoteza sifa zote za kuiongoza nchi yetu ya Tanzania na hivyo wakati umefika wa kukifuta ili tuanze upya kabisa bila chembe chembe za u-ccm. Nawakilisha

sio kweli....njia ya haki ni kuto ichagua CCM...
Yapo mambo mengi yanayo peelekea Tukabaki masikini...Mfano mzuri ni hyo kauli yako...
Bora useme..tusiipigie ccm Kura
 
Back
Top Bottom