Ccm ifanye nini zaidi tujue haifai????????

Jolebatawi

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
549
230
Nielezee kwa kurejea matukio haya
1.Kwanza ni uchaguzi wa UWT uliotawaliwa na vijembe vya hali ya juu baada ya shyrose bhanji kumuuliza sophia simba kama mgombea uenyekiti tena swali zuri mno ambalo kwa mwanasiasa mkomavu katika kulijibu swali lile tayari lingemnadi vyema kama alifanya mema kwenye uongozi uliopita kwa kuwa alitakiwa aelezee uenyekiti wake uliopita lakini akaishia kulewa sifa na kujibu upuuzi na kutoa kejeli kwa lugha za mipasho na bila kusahau huyu ni waziri kwenye safu ya bwana mkubwa aliyeonesha udhaifu wa hali ya juu, ya akina mulugo ndiyo hayasemwi.
2.Uchaguzi wa UVCCM ambao tumeshuhudia ngumi zikichapwa na hasa jana kwenye mapokezi ya kuupokea uongoz mpya wa UVCCM taifa,,hapa naomba mtambue hawa ndio viongozi wetu wa kesho lakini hawana uwezo wa kutatua matatizo kwa kuonesha uzalendo kwa nchi yao.Vijana humu wanalia kukithiri kwa rushwa baada ya uchaguzi ila kabla ya uchaguz wanakuwa kimya na pia hawatuelezi hatua za kuitokomeza,kwan rushwa ccm ni ki2 kigeni?
3.Tatu na mwisho ni kitendo cha rais JK kulalamikia rushwa ndani ya chama huku yeye akiwa ndiye mwenyekiti.Je tuseme ameshindwa kuidhibiti rushwa ndani ya chama?MWALIMU NYERERE katika hotuba zake alisema tunamtaka rais anayekemea rushwa kwa dhati kutoka ndani ya nafsi yake hata akiongea sura yake ioneshe kukerwa kwelikweli,,JE SURA YA JK INAONESHA KUKERWA NA RUSHWA KWELIKWELI! tukiondoa ushabiki jibu ni HAPANA!!
NA KAMA HIVYO NDIVYO,JE CCM IFANYE NINI ZAIDI ILI TUJUE HAIFAI.CHUKUA HATUA
 
Gracias!

Kwa kutangaza sera za chama chenu na mipango yenu na sio kukizungumzia chama kisichowahusu hapo watawaelewa la sivyo mjiangalie wenyewe
 
Kumbuka kwa sasa ni lazima uupate udiwani,ubunge au urais kupitia chama cha siasa kilichosajiliwa tanzania,,kwahiyo huwezi kuzungumzia mustakabali wa nchi hii kisiasa bila kuangalia mambo yanayoendelea kwenye vyama vya siasa,,hivyo nakushauri kuchangia hii mada bila ushabiki wa kiccm wala kichadema..Tatizo watanzania tunapenda kulizwa na visivyoliza,,tunanyamanzishwa na vya kijinga na mwisho tunatulizwa na vya kuudhi,,hivyo tafakari mapema na si kujisahau wakati wa uchaguzi na uchaguzi ukishamalizika kama kawaida tunaanza kupiga mayowe.
 
hadi siku tupigane ndo tutamini,
kaka hili jambo ni tatizo
ccm hawafai niamini mimi nahapa nina kadi ya ccm, huwa naitazama naona kama pana picha ya bastola na mapanga
 
Back
Top Bottom