Elections 2010 CCM huu ni woga kuishiwa au?!

Xuma

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
683
196
Nimekuwa nikitumiwa haya matext meseji na na hawa mafisadi. Kama kuna mtu anaweza kustop hii kitu anisaidie.

ETI...
Tanzania ni kisiwa cha amani.Tunaamini KIKWETE kwa kushirikiana na wananchi wa dini zote Mungu anakwenda kuijalia nchi hii kuwa pia kisiwa cha neema.
 
Leo Ahsubuhi nimepata sms inasema
VYAMA VYA SIASA VILIVYOANDIKISHWA NCHINI NI 18 LAKINI HAKUNA HATA CHAMA KIMOJA UKIVIWEKA KWENYE MIZANI KITAKACHOFIKIA CCM, CHAGUA......

Nakubaliana nao kwamba hakuna chama ukikiweka kwenye mizani na ccm kitakachiofikia kwa ufisadi, mauaji, wizi, UFATAKi, uongo n.k.
 
NOT under Kikwete and CCM! Tuliahidiwa MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, mbona hatupewi tathmini na mtoa ahadi kama kweli maisha yamekuwa bora zaidi au yamedidimia tena kwa kasi zaidi, ari zaidi na nguvu zaidi? Majibu yangepatikana kwenye mdahalo tena kwa mbwembwe kama they were positive! Mwaka huu slogan hiyo inaogopwa kama ukoma. KISIWA CHA NEEMA mbona hakihubiriwi kwenye kampeni ili watu waulize maswali????
 
Nimekuwa nikitumiwa haya matext meseji na na hawa mafisadi. Kama kuna mtu anaweza kustop hii kitu anisaidie.

ETI...
Tanzania ni kisiwa cha amani.Tunaamini KIKWETE kwa kushirikiana na wananchi wa dini zote Mungu anakwenda kuijalia nchi hii kuwa pia kisiwa cha neema.

JIBU LA SMS HII: Hatudanganyiki tenaaaaaaaaa!!!

 
uwoga na aibu ya kushindwa...hahaa wanafikiria kweli wataweza kuwa chama cha upinzani???
 
Vipi kuhusu meseji toka kwa Chadema???

Au hizi hatutakiwi kuzi'stop' nazo???


Usiulize utafanyiwa nini na Tanzania... Jiulize wewe umeifanyia nini Tanzania...

Wengi wenu mnaolalamikia maisha bora ndo wa kwanza kuiharibu. Hata huyo Dr. Slaa akiingia madarakani kama wewe binafsi hujabadilika kitabia, itakuwa ni sawa na kuchota maji baharini tena kwa kutumia gunia la katani na kwenda kuyamwaga kwenye mfereji.

Wewe ndo wa kwanza kutupa uchafu mtaani kwako... wa kwanza kukojoa katika kuta mbalimbali mitaani... wa kwanza kutupa chupa tupu za maji... wa kwanza katika kila uharibifu.. halafu leo unataka maisha bora. Acha upuuzi wewe!!!

Onyesha namna gani utamsaidia hata huyo Dr. Slaa wako unaetaka aende Ikulu kukupa maisha bora, na sio kulalama kuhusu ufisadi ilhali we nawe ni fisadi namba moja mtaani kwako...

Acha upuuzi. Kuwa na fikra chanya..


Nawakilisha Oktoba 31
 
Wakati kiwete ndiye kiongozi wa kwanza tanzania kuwagawa watz kwa vitendo hadi akaamua kuweka mambo ya dini yake ya kiislamu kwenye ilani ya chama chake na kuinadi........sasa hapo nani mdini kwa vitendo?........kikwete mdini mkubwa na ni hatari kwa mustakabali wa taifa iwapo atachaguliwa kwa ana ajenda za siri kibao
nimekuwa nikitumiwa haya matext meseji na na hawa mafisadi. Kama kuna mtu anaweza kustop hii kitu anisaidie.

Eti...
Tanzania ni kisiwa cha amani.tunaamini kikwete kwa kushirikiana na wananchi wa dini zote mungu anakwenda kuijalia nchi hii kuwa pia kisiwa cha neema.
 
sasa hivi ndio najua maana ya Nyerere kumuweka pembeni JK kinyago mwaka 1995, he saw it comming, ndio maana akarekebisha mambo kitaaluma, sasa hivi tumepata role models wetu, kibonde, clouds nk nk, wakati ukweli wenyewe wao wenyewe hawawezi kuishi na haki hii ya competition labda wapewe monopoly, wakati dunia ya sasa hairuhusu mambo hayo au ukweli wa mambo, wapinzani wao wa biashara wanaweza ingia kwa njia tofauti angalia hiyo belair ya india? kuna mtu anaweza kushindana nayo? labda sheria za nchi au za biashara zibadilike, wataanza na mobile, watakuja na internet , na watamaliza na bolly wood nk nk
 
Back
Top Bottom