Ccm hoyeee.....!!!!zana za kisasa za kutuliza ghasia..........elimu fedha hakuna......?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Wanafunzi wanaposoma katika mazingira magumu kwa kukosa madawati hawawezi kuelewa soma, shule nyingi nchini zina upungufu wa madawati kutokana na ruzuku ndogo katika sekta hiyo. Picha na Mtandao.
 
Ccm juu, juuuu! Kwa kuleta umaskini? Juuuuu! Kwa uongo? Juuuuuu! Kwa ufisadi? Juuuuu!
 
Nahisi 2015 watanunua ndege,helikopta na nyambizi za kutuliza ghasia bila kusahau vile wanavyoita "kitu kizito"hiki ndicho chama twawala bwana!wana msemo wao "kupanga ni kuchagua"wamechagua kuwapa mama wajawazito bajaj huku wao wakitumia ndege za chini,walichagua umma ule nyasi lakini mkuu wa kaya apate ndege ya kifahari,wamechagua kuwaua wote wanaohatarisha uwepo wao madarakani kuliko wao kuondoka,wamechagua kuwaua wezi wa kuku lakini wale wanaokwapua mabilioni wanawaomba warudishe yaishe.Kupanga ni kuchagu ndugu!
 
Back
Top Bottom