CCM hiyo ni ishara ya nchi nzima siyo Mara(Musoma)

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kwakitendo kilichofanyika Mara hiyo ni ishara ya kuichoka CCM hivyo Nape anayokazi kubwa labda uanze kuwapa pesa watanzania kwani ndilo tatizo la msingi!!Hiyo ni endiketa kwa mkoa mzima mjipange Nguvu ya umma inakuja CCM siyo chaghuo la wana mara hizo ndiyo salamu zangu!
 
watakupuuza tu
 
Hakuna lililo na Mwanzo lisiwe na Mwisho

Hii ni moja ya siri ya jinsi mambo yanavyokwenda hapa duniani, wale wanaopenda Ukweli Mwenyezi
Mungu huwapa Hekima Wakati wote kuepukana na Madhara ya Mwisho wa dhama au Maisha.

Hao kwa sababu ya kujua kila kitu kina Mwisho hujiandaa na ukubali bila kipingamizi Mwisho unapofikia,
Hawaumii sababu tayari watakuwa na hekima ya nini cha kufanya, au tayari watakuwa wamekwishatumia
hekima kujiandaa na Maisha Mapya.

CCM Imefikia Mwisho, kila mtu anaona, hata watoto wadogo, ila wao pekee, wanaelekea shimoni,
lakini sababu hawapendi kweli, wanapingana na forces of nature, Madhara yao yatakuwa makubwa
zaidi, sababu wanaenda kama vipofu, watajigonga ukutani kwa nguvu sana, wataumia sana CCM

Hata Mungu ameishaahidi kwamba, ataziondoa zote, Dunia na Mbingu kwa pamoja zisiwepo tena.
 
Nasikia raha jinsi Watanzania wanavyofumbuka macho sasa!! Songa mbele wananchi, mabadiliko ni muhimu!!! Hongera wana Mara...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom