Ccm hatutaki majibu rahisi kwa maswali magumu!!!!jifunzeni.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Tunaomba CCM wawambie wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Nilini makao makuu ya Nchi ya tahamia Dodoma??Na kama huo mpango ulishakufa basi wawambie wananchi ili wizara zilizopo Dodoma Zirudi Dar eS Salaam ili gharama za uendeshaji zipungue!Na CCM wawambie wananchi Wa meweka mipango gani ya kuakikisha majanga na vimbunga vya baharini vikitokea IKULU na Rais wetu Hapati matatizo?
 
Back
Top Bottom