U Uwezo Tunao JF-Expert Member Nov 14, 2010 6,942 1,190 Aug 6, 2011 #61 Acheni gamba kwa gamba wapasuane tu. Kama ni ufisadi wameutenda na kuufaidi wote.
LiverpoolFC JF-Expert Member Apr 12, 2011 11,348 3,219 Aug 6, 2011 #62 Wengeanza mara moja mkutano ujao wa NEC mi naona ni mbali sana.