CCM hatarini: Wafuasi wa Lowassa, Chenge wapanga kuipasua

siku ukisikia ccm imekufa au haipo madarakani...then ujue Tanzania sasa inakuwa super power katika kila sekta. ccm sio tu wanatulostisha, bali wameturoga watz wote tunaishia kumak taimu tu tukirudi nyuma kidogo kidogo

CCJ ndo watakao toka na si Wenyeviti wa Mikoa na wilaya. CCJ kitazaliwa upya baada ya NEC mwezi ujao. Chama kina timu ya wahuni sijapata kuona toka enzi za Mwalimu 1977. Hawa wahuni watoke watuachie chama chetu miaka hii mitatu na Mkuu amrudishe Lowassa kwa kipindi kilichobaki amalizie kazi kama hamjampa nchi hii.

Mtendaji mpe sifa yake na Lowassa ni Mtendaji acheni hao wahuni wanaokatazwa hata kwenda Igunga.

Hicho chama nilishawapa ushauri siku nyingi ila hawaufuati. Niliwapa ushauri kwenye makala moja ya Dr.Kitila Mkumbo kwamba CCM ya Nape ni ya nadharia ,CCM ya Nchimbi.......hiyo thread nadhani ipo,watajuana sasa. CCJ nayo inazidi kujiimarisha ndani ya CCM.

Wakiweza au wakishindwa kumalizana na hilo kundi wanalolipigia kelele itakuwa ni zamu ya CCJ. Hata hivyo hao wagombea wote wanaoutaka urais kupitia CCM hawatufai, hawatapata confidence ya hata investors kwa sababu ya uhusika wao katika ufisadi au kuwa na close connection na culprits.Ndiyo maana hata Zuma kule south Africa ilibidi amrudishe waziri wa fedha wa Thabo Mbeki Manuel Trevor ili awe anawakilisha sura ya serikali ya Zuma kwani yeye hana credibility mbele ya makampuni makubwa na serikali za nje ambazo ni partners wa Maendeleo.

Pengine angeingia mtu kama CDE Kgalema alikuwa anakubalika zaidi ndani na nje na hata kwenye economy sector of the state

Ni kweli naona mkakati wanaiga ule wa Zuma,ndiyo maana kuna thread inaonyesha kwamba UVCCM imeingia kwenye Mtandao wa hao jamaa.Wanataka kuwa na Julius Malema wao(ANC Youth League President).

Lakini wawe makini usijekuta Jk naye anataka kutumia mbinu za Olusegun Obasanjo wa Nigeria against his VP Atiku Abubakar.....Itachekesha sana hapo!

Anyways,The current crop of CCM presidential aspirants are all out of touch with ordinary people,they have no connection with whats happening on the ground.

Tanzania need a motivator,someone who the poor will belief in and at the same time someone who the investors can trust and if you'v been following our politics you'll realised that Chadema will produce that Man.

Hata hivyo nani kawatuma? Hata kama kauli kama zile zingekuwa zinaelekezwa upande wa pili wa akina Lowas, bado wangekuwa hawatendi haki kwa sababu hawajakaa kikao chochote na wananchi/wanachama wao wakakubaliana na misimamo yao binafsi!!!. kauli zao akiwamo Kagasheki zinashangaza na sikutarajia kiongozi kama yeye azitoe! Mahala pale si pake, amepewa kwa muda, miaka 5.
Hivi Mgeja ni mwenyekiti wa nini vile naomba unikumbushe,
halafu unaposema amepewa muda wa miaka mitano kapewa na nani.

Una wajumbe zaidi ya 250; Hivyo wakuu wa mikoa no 10% ya wajumbe wote na si wakuu wote wa mkoa wasiotaka gamba livuliwa
Hewala you are almost there....kumbe wapo kwa hiyo dawa ni kuwa ignore au kuwasikiliza au kuwadharau the choice is in your vicinity.

Mwache avute ipasuke vipande zaid i

Inabidi sasa hao jamaa wamuwahi Hoseah na TAKUKURU kabla mwenyekiti wa chama hajagundua mbinu ile ya Obasanjo ya kumtumia EFCC Czar Nuhu Ribadu against makamu wa Rais Atiku Abubakari.

So sasa hivi kimkakati inabidi wamgombanie Hoseah la Sivyo either side ikimuwahi the other side will suffer humiliation.Hiyo ndiyo mbinu nzito iliyobaki pamoja na ku-win wajumbe kwa kugawanywa kikanda,mfano kanda ya Ziwa chenge,hamisi kagasheki na karamagi wanaimudu

Mabaraza ya wanawake na Umoja wa vijana,upande wa wazee ndiyo hivyo tena unavyosikia Idd Simba na kashfa zake za UDA ambaye ofcourse inaonekana si mtandao wa akina EL.

CCM wameshazoea ujanja ujanja na mbinu chafu kumalizana kisiasa na sasa hapa ndipo kwenye kilele chao.....na hata wakipita,wakimuweka mgombea wao nk. still labda ukute wanapigania nafasi ya kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni baada ya katiba kubadilishwa na baada ya uchaguzi mkuu 2015

kelele za chura....................vijisenti vitakwisha tu na watatulia pale watakapokuwa wameswekwa kunako kona pale segerea au ukonga

Waandaa kuleta vurugu kikao kijacho cha NEC

Wala njama kuzuia wafadhili wao wasing'olewe

BAADHI ya wenyeviti wa mikoa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepanga kuleta vurugu kubwa kwenye kikao cha mwezi ujao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho (NEC) ili kuzuia Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa, pamoja na waziri wa zamani, Andrew Chenge, wasing'olewe kwenye chama.

Wenyeviti hao wa CCM na wajumbe wengine wa NEC wamepangwa kusimama kwenye kikao hicho cha Septemba na kupingana na uamuzi wa chama hicho wa kuwataka wanasiasa wenye tuhuma za ufisadi kujiuzulu wao wenyewe kwenye nafasi za uongozi kabla ya kusubiri kufukuzwa.

Kundi hilo la wajumbe wa NEC, wakiwemo wengine kutoka Tanzania bara na Zanzibar, limepangwa ili kujaribu kuleta mapinduzi haramu ndani ya chama katika jitihada za kuzuia wanasiasa hao wasifukuzwe.

Genge hili la wajumbe wa NEC limeapa kuwa haliko tayari hata kidogo kuona "wafadhili" wao wanatimuliwa kwenye chama.

span>[/QUO

Waongo sana hao hawawezi fanya chochote. Kwani nani aliwazuia hayo kufanyika kikao kilichopita ?. Kwanini wasianze hata leo kupinga hadharani.Amini ikifika mwezi sept utasikia tutafanya mwezi Desemba. Mimi sipendi unafiki.

........ mbinu nzito iliyobaki pamoja na ku-win wajumbe kwa kugawanywa kikanda,mfano kanda ya Ziwa chenge,hamisi kagasheki na karamagi wanaimudu .....

Ben,
Kwenye bluu niko tofauti kidogo na wewe. Ushawishi wa Hamis kwa wajumbe wa NEC wanaotoka Kanda ya Ziwa hasa BK-Mjini kama upo bado ni wa kiwango kidogo. Na ikumbukwe Hamis si mjumbe wa NEC. Na mipango yake kuingia NEC ilikuwa inakwamishwa sana na Karamagi. Itakuwa heri kama sasa wako kambi moja. Lakini nimjuavyo Hamis si mtu wa siasa za Makundi japo ni muathirika wa siasa za ITIKADI.

..... Idd Simba na kashfa zake za UDA ambaye ofcourse inaonekana si mtandao wa akina EL......

Nina mashaka kama Simba bado anasimama nje ya kambi ya EL ikizingatiwa Meya Masaburi, kiungo wa deal la UDA amesaidiwa sana na Kambi ya EL kuchukua Umeya wa Jiji

hawana cha kupasua wala nini... ni uleule unafiki wa kisiasa

leo utasikia haya, kesho utasikia yale

to me, sio tofauti ya magamba, CCM, NEC wala CC

Nataka dawa, maji, umeme, nishati, elimu, kilimo nk

Mi siku zote nimekuwa nikiwapuuza watanzania wenye mtazamo kama wako,we unadhani kinachosababisha tukose umeme, maji, barabara n.k ni nini kama sio siasa chafu za ccm.

Kama unahijati mabadiliko toa mtazamo/mchango wako sio kusema unataka umeme, maji n.k, hivi vyote havitoki mbinguni.

Tanzania tuna mikoa 25; ukuzungumza wenyeviti wa mikoa unazungumzia watu 25 kati ya wanachama wapatao 4000. Hakuna mpasuko wowote ni hofu tuu ya kuwakosa watu waliozoeleka kwenye kundi

mahesabu yako hayajakaa sawa. Unaijua multiply effect?

Una wajumbe zaidi ya 250; Hivyo wakuu wa mikoa no 10% ya wajumbe wote na si wakuu wote wa mkoa wasiotaka gamba livuliwa
Sasa inasemekana kwamba kundi EL linaungwa mkono na wajumbe wengi wa NEC wengine husema zaidi ya 50% kama ni kweli hali itakuwa mbaya kwa mzee kaya na mustakabali wa chama kwa ujumla

... Surely this isnt news at al because that is what CCM is al about! Ehh ... Anybody xpected anything much better from ccm?)!!
... We need an alternative party for a new and fresh TANZANIA!!

Back
Top Bottom