spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,220
GreaTthinkErs
- Kwa jinsi suala hili la umeme linavyonikera licha ya kuwa na maporomoko mengi ya maji.
- Kwa jinsi mafisadi wanavyowabembeleza na kufunga vibaka
- kwa wanavyopeana vyeo utadhani nchi hii ni ya uchifu
- Kwa jinsi Ukanda unavyoutesa moyo wangu kwa kupendelea pwani na Bagamoyo
- Kwa jinsi ninavyokatwa PAYE na pesa kutumika kulipa posho wakuu wa wilaya badala ya kujenga zahanati