Ccm hapa ndipo mlipokosea arumeru

Una maana gani hapa?

Nilimaanisha kila timu ina mchezo wake asilia iliyozoea kucheza, mkiwaiga wapinzani wenu mmekwisha!

Ni sawa na Arsenal ianze kupiga minazi kama Man U wakati Arsenal kawaida yake Kutandaza kandanda safi...it will not work
 
Hapo ndipo unapoharibu asee., Soccer safi? Wolves, Blackburn etc wanapiga soccer safi tu, ila wako wapi?
Hapa leta tasimini yako ya anaolewa Sumari na Mh Nassari or Chama cha majizi, matusi, mafisadi vs CDM.
Alaaaah
 
Kutoa ushauri kwa ccm ni sawa na kumpa dawa marehemu kwasababu bado yupo wodini. Ccm inatakiwa ipelekwe mochuari tujianda kwa maziko maana tarehe ipo clear.
 
CCM hawajakosea chochote wapo sahihi kabisa ni kwamba bidhaa haiuziki tena sokoni period hasa soko la Arumeru huko Dar sawa na wazee wa Dar wasiojua kusoma expiry date.
 
CCCCM kwishney sasa hivi mkombozi amejulikana tena kwa bahati nzuri kwa baadhi yetu amepatikana na kuwekwa wakfu wiki takatifu. CDM 2015 IKULU VIONGOZI MAFISADI ANZERNI KUHAMA NCHI AU RUDISHENI MALI MLIZOIBA KWA WATANZANIA. MIAKA IMEBAKI MITATU TU CDM MAGOGONI
 
Back
Top Bottom