Ccm hamponi kwa kizazi hiki

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
attachment.php
:A S 13:
 
badala ya watoto kusoma wanafanyishwa siasa ? hili ni kosa kubwa sana . haki za watoto zipo wapi jamani watoto wanatumiwa bila kijua ? ngoja wataalam wa sheria wafike hapa watoe maoni yao. CHADEMA wanastahili kuchukuliwa sheria kwa kuwatumia watoto kwa manufaa yao
 
Duh, kuna kaukweli fulani hapo. Siku hizi ukipita mitaa ya Tengeru na Usa watoto kama hawa hupunga alama ya V, ile ya dole gumba imepitwa na wakati.
 
baada ya miaka 15 kila mtoto hapo ana haki ya kupiga kura.
Lazima pachimbike,ccm ya akina lusinde tukaneni,chadema ya mbowe ina tayarisha vijana na huu ndio msemo wa watoto ni vijana wa kesho.watake wasitake haki ya mungu wanaondoka.lazima hii inamfanya kikwete na watu wake waogope we are looking 4 the future of our tanzania.god bless tanzania.inshalah
 
CCM baadala ya kuinvest kwa vijana wao wanainvest kwa kina wassira,sendeka na aina ya kina lusinde na mwigulu this is big loss.
 
Hivi tu matumbo joto ccm vinaja wanao maliza vyuok ibao mtaani hawapati kazi kisa eti wengi wapo Chadema, tutafika tu labda ccm mbadili mfumo wa uongozi na malipo yote ni hapahapa duniani
 
Back
Top Bottom