CCM hamkuona zaidi ya WANYIRAMBA? Nnauye, Chiligati na Mwingulu?

Mr. Clean

Senior Member
Aug 7, 2006
194
44
CHILIGATI, MNAUYE, MWIGULU wote wa palepale kwetu singida, je sisiemu nao wana ukanda ktk uongozi?
 
Nadhani suala siyo ukabila bali uwezo wao binafsi katika utendaji kazi kichama na si vinginevyo.
 
Wanataka kusafisha nyota kwani nasikia kwa tanzania wanyiramba ndilo kabila pekee ambalo ukoo unahesabiwa kwa mama.
Labda ccm itakuwa safi.
 
Kumbavu zako.
Chiligati mnyiramba wa wapi.
OTIS.


Hata iwe Mnyaturu wa Manyoni, kote ni Singida. kwani usemapo Mkoa wa Mbeya ni wawanyakusa, si wanyiha, wafipa, wandali wanamezwapo?

Hapa naongelea Mkoa mmoja wa Singida kutoa voingozi wa juu wa chama watatu, ilahli kutusahau wahuku kusini mtwara, lindi, songea, rukwa and the like!
 
He! Napelele nilidhani ni mmakonde. Pitia upya kumbukumbu.


Nape huko umakondeni alipewa kipoozeo cha uDC na mkuu wa kaya kupisha uchaguzi ulopita!
kwani humwoni usoni mshombeshombe? kuna mmakonde asokuwa na ndonya!
 
Back
Top Bottom