CCM hali mbaya wilaya ya Kilindi

Jan 13, 2012
46
11
Kutokana na viongozi karibu wote wa CCM wilaya ya Kilindi kutoka katika kanda moja inayohusisha kata za Mkindi, Msente na Mswaki maeneo ambayo kijiografia yapo karibu na Handeni na ambayo hayana idadi kubwa ya watu na kuziacha kata za Kibirashi, Songe, Kwediboma, Kikunde, Kwekivu na maeneo mengine muhimu baadhi ya wananchi wanasema ni mwanzo wa upinzani kuwa na nguvu wilaya ya Kilindi.

Hali hiyo inachangiwa na kampeni inayofanywa na mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Kilindi bw. 'Kabwe' na katibu wake maeneo mbali mbali ya wilaya.

Viongozi hawa wapo katika mchakato wa kukieneza chama katika vijiji na kata mbali mbali za wilaya hii.
 
Kutokana na viongozi karibu wote wa ccm wilaya ya kilindi kutoka katika kanda moja inayohusisha kata za mkindi, msente na mswaki maeneo ambayo kijiografia yapo karibu na handeni na ambayo hayana idadi kubwa ya watu na kuziacha kata za kibirashi, songe, kwediboma, kikunde, kwekivu na maeneo mengine muhimu baadhi ya wananchi wanasema ni mwanzo wa upinzani kuwa na nguvu wilaya ya kilindi. Hali hiyo inachagizwa na kampeni inayofanywa na mwenyekiti wa chadema wilaya ya kilindi bw. 'Kabwe' na katibu wake maeneo mbali mbali ya wilaya. Viongozi hawa wapo katika mchakato wa kukieneza chama katika vijiji na kata mbali mbali za wilaya hii.

Nakusoma vizuri mtu wangu kwani vijiji vyote ulivyovitaja navifahamu sana. Watu wa Wilaya hiyo wanahitaji uamsho wa kutosha kwani wako nyuma kwa kila kitu.
 
Nakusoma vizuri mtu wangu kwani vijiji vyote ulivyovitaja navifahamu sana. Watu wa Wilaya hiyo wanahitaji uamsho wa kutosha kwani wako nyuma kwa kila kitu.

ni kweli kabisa kuhusu uamsho kwa kuwa wengi wa wananchi huku hadi sasa ni undecided ila wapo makini kufuatilia ni nini kinaendelea..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom