CCM hakuna msemaji makini? Mbona ovyo kila siku

Isango

R I P
Jul 23, 2008
295
450
CCM Chama cha kuhurumiwa kweli. Kila wanachosema kinakuwa na mapungufu mengi yanayoonekana wazi hata kwa wanafunzi wa chekechea. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, jana Bungeni analalamika kuwa wanashindwa kufanya shughuli za maendeleo kwa sababu ya CHADEMA. Naomba CHADEMA ENDELEENI. MKIKAA KIMYA CCM WANAWACHONGEA KWA WANANCHI ETI VYAMA VYA UPINZANI NI VYA MUSIMU. MKIWABANA WANASEMA MNAWANYIMA USINGIZI.... PINDA HAKUFIKIRI VIZURI WAKATI WA KUTOA KAULI HIYO KAMA ILIVYO JADI YA CCM KUKURUPUKA WANAPOTAKA KUSEMA/KUTOA TAMKO
 
Kaka kuongea kunahitaji akili iliyotulia, sio ya watu waliolewa madaraka tu
 
Chadema imeanza juzi tu, hiyo miaka yote karibu 50 ambayo Chadema haikuwepo mbona walishindwa kufanya maendeleo katika nchi hii?
 
Pinda alikuwa ni miongoni mwa wana CCM ambao nilikuwa nawakubali lkn kwa awamu ya pili ya JK pinda amegeuka kuwa muongo,mtetezi wa mafisadina,na mtoa majibu yasiyo na tija.
Kwa ujumla Pinda is nothing kwa sasa.
 
Pinda anazidiwa, serikalini hana nguvu na ameshabanwa kiasi kwamba yeye si msafi tena. Kwahiyo hapo hata hayo maswali naona anaonewa tu maana hata akitoa majibu hawezi kutekeleza lolote, yeye yuko kama pambo tu... ni sawa na ua lililoko kwenye Kopo masebuleni kwetu.
 
mfano mwingine ni pale aliposema anajua Lema alikataa dhamana lakini eti hajui kwa nini alikataa. hivi nikweli pinda hajui kuwa policcm hawafuati haki?? Jamaa anakera sana!!
 
Pinda alikuwa ni miongoni mwa wana CCM ambao nilikuwa nawakubali lkn kwa awamu ya pili ya JK pinda amegeuka kuwa muongo,mtetezi wa mafisadina,na mtoa majibu yasiyo na tija.
Kwa ujumla Pinda is nothing kwa sasa.

Pinda amebanwa na hawezi kufanya lolote kwa sasa, nadhani ameona bora na yeye ale maana atajamaliza muda wake bado mashavu yamedumbukia kwa njaa. Hakuna haja ya kuitwa mtoto wa mkulima wakati amenyimwa nguvu za kufanya kazi ya kutetea wakulima, ndio maana sasa anapigia kelele uwekezaji Rukwa na mikoa ya kanda ya Ziwa ili walao mashavu yake yavimbe kidogo na rangi iive walau kama ya Mzee wa vijisenti. Hana njia nyingine zaidi ya hiyo kwa sasa, anakula kama wenzake.
 
.........ukikurupushwa usingizini unaweza kujibu "si keshaonja asali?" Lakini shida hapa ni mfumo, Mh Pinda anautumikia mfumo wa jinsi anavyo act, yupo ndani yake, kamwe hawezi kutofautiana nao, ndio uliomweka pale, akienda kinyume, utamgeuka, kwa kifupi mtoto wa mkulima hataki tena jembe, ama naweza kusema, keshalitupa kabisa
Pinda alikuwa ni miongoni mwa wana CCM ambao nilikuwa nawakubali lkn kwa awamu ya pili ya JK pinda amegeuka kuwa muongo,mtetezi wa mafisadina,na mtoa majibu yasiyo na tija.
Kwa ujumla Pinda is nothing kwa sasa.
 
ccm hawafikiri kabla ya kuongea; ndo maana mwenyekiti wao aliahidi bwawa la samaki umasaini wakati wamasai hawapendi kabisa samaki. bukoba wanatamani usafiri wa barabara lakini yeyye aliwaahidi meli nyingine - akijua wazi kuwa zilizopo hazitumiki - habiria hakuna.
 
bado anakubali kupokea barua toka ccm wakisisitiza wenyewe hawaoni tatizo juu ya suala hili!hana wasiwasi huyu baba sijui yukoje na nani alimchagua!
 
ndugu yangu weee, msemaji makini atoke wapi ccm???????????? labda January makamba wengine wote ni mdebwedooooooooo
 
Mhhh, kwa wale walioko Dar, kama kuna mtu aliona kipindi jana Mlimani TV kilikuwa kinaoongozwa na Ayoub Ryoba, alikuwepo Mzee Mkama, Katibu Mkuu CCM, namna alivyokuwa anaongea na kujibu maswali ya wasikilizaji ndiyo ungejua hali ni ngumu kuliko tunavyodhani. Mf. alijikanyaga kuhusu mradi wa mabasi yaendayo kasi hadi akalazimika kumwambia mwendesha kipindi kuwa asiulizwe umefikia hatua gani kiutekelezaji, na huku aliokuwa ametangulia kusema huo mradi uko kwenye ilani yao ya uchaguzi, nikabaki na mshangao tu.
 
Back
Top Bottom