CCM haitakufa na itaongoza milele: Nape Nnauye

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Nappe amesema CCM haitakuja kufa na itaongoza milele.

Ameitoa kauli hiyo kufuatia kauli zilizotamkwa na wazee 3 ambao ni Butiku, Kitine na mzee Kaduma waliosema kuwa CCM inakaribia kufa bin kutokomea.

Source: ITV taarifa ya habari saa mbili jioni ya leo
 
Nape ni kama Nesi. Nesi hawezi kumkatisha tamaa mgonjwa hata kama akijua hatapona. Sana sana atamtia moyo mgonjwa kwa kumwambia usijali utapona. Nape anajua ccm iko hoi ICU.
 
Nape ni kama Nesi. Nesi hawezi kumkatisha tamaa mgonjwa hata kama akijua hatapona. Sana sana atamtia moyo mgonjwa kwa kumwambia usijali utapona. Nape anajua ccm iko hoi ICU.

Kwa kitengo chake hata simshangai kabisa, maana sikutegemea aseme CCM inakufa.
 
Nape ni kama Nesi. Nesi hawezi kumkatisha tamaa mgonjwa hata kama akijua hatapona. Sana sana atamtia moyo mgonjwa kwa kumwambia usijali utapona. Nape anajua ccm iko hoi ICU.

Hata Moi alisema KANU itatawala miaka 100 Kenya, kilichotokea Kenya Nape anakijua.
 
Sample ya vijana kama Nape na Zitto ndio wanaotuaibisha ktk jamii sisi vijana wenzao, kwani wana akili kama kuku.
NI VIJANA MBUMBUMBU.
 
Hata KANU walisema hivyo hivyo. Inaonyesha tuu jinsi wanasiasa wanavyowachulia wananchi for granted.
 
Ndio kazi yake jamani, tutegemee nini kingine, akisema vinginevyo ataulizwa, unafanya kwenye chama kinachokufa?
 
nape anaijua mana ya milele?Atambue kuwa dunia na vitu vyote vinapita kwa maana hiyo ccm ina mwisho wake na umilele wameahidiwa wanadamu ambao wameiona nuru ya ulimwengu huu kwa kuamini Kristo na kuishi maisha ya kupendeza na siyo ya ufisadi na uuaji kama ilivyo ccm
 
Back
Top Bottom