TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Wewe utakuwa unaangalia upepo unavyokwenda humu JF
- Uhuru ungekuja tu hata kama ingekuwa chama gani
- Shule za kata, matokeo yake umeyaona mwaka huu?
- Kimezima mgomo wa madaktari baada ya watanzania wangapi kufa???
- Lami bado nchi nzima usidanganye watu.
- Kimefanikiwa kufisidi nchi
- Mikataba isiyokuwa na manufaa kwa nchi
- Kimeongeza umasikini nchini
- Richmond
Na mengine mengi, najua unayafahamu ila unatetea unga wako.
Mia kwa mia unachukua! Huyu jamaa amejaribu kuleta thread ambayo points zake alitumia kujibu civics paper akapata F,sasa anataka apime upepo humu JF,SASA NAMWAMBIA take another F and Don't reseat again.