CCM Haina Mpinzani 2015!

ha ha ha

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
638
84
Nakipongeza chama cha mapinduzi. Hiki ndicho chama chenye dola kwa nusu karne sasa. Kina uzoefu na uongozi katika taifa hili. Kwa kweli kimefanya mambo makubwa kwa taifa hili ambayo bila shaka yanafanya taifa zima likisifu kwa ushupavu wake na uongozi uliotukuka. miongoni mwa mambo yanayoashiria kurudi madarakani 2015 ni;
  • kimetupa uhuru.
  • kimeweka mazingira ya amani, upendo na mshikamano.
  • kimejenga barabara za lami nchi nzima.
  • kimejenga shule za kata nchi.
  • kimezima mgomo wa madaktari kwa uhodari wa hali ya juu.
  • kimejenga vyuo nchi nzima.
  • kimejenga mazingira ya ajira na kujiajiri nchi nzima.
  • kimekuza uchumi wa taifa zaidi ya % 7.
  • kimetoa viongozi imara na mashuhuri duniani.
  • kinasomesha wanafunzi vyuo vikuu.
Bila shaka watanzania tunajivunia hazina takatifu hii ambayo daima itaenziwa.
 
Wewe utakuwa unaangalia upepo unavyokwenda humu JF
- Uhuru ungekuja tu hata kama ingekuwa chama gani
- Shule za kata, matokeo yake umeyaona mwaka huu?
- Kimezima mgomo wa madaktari baada ya watanzania wangapi kufa???
- Lami bado nchi nzima usidanganye watu.
- Kimefanikiwa kufisidi nchi
- Mikataba isiyokuwa na manufaa kwa nchi
- Kimeongeza umasikini nchini
- Richmond
Na mengine mengi, najua unayafahamu ila unatetea unga wako.
 
  • kimeweka mazingira ya amani, upendo na mshikamano.
.
179325_139287436132717_100001543839332_244427_300829_n.jpg
Mauaji ya raia Arusha.
ameiumiamkeslaa.jpg

6.JPG

MAITI.jpg

Mauaji ya Tarime
Untitled2.jpg

kunguru-weusi-washughulikiwa.jpg

Mauaji ya Pemba
 
mleta mada sio kosa lake anajifunza hakuna raia wa tz hata moja anae taka ccm hata mimi nipo kwenye system na sinampango na ccm na ndio mwisho wao safari hii hawatoweza kununua kura
 
Ni kweli mkuu sifa nyingine si chama cha kikabila au dini fulani ni chama cha wtanznia wote yoyote mwenye sifa kwa ngazi fulani ya uongozi anapewa nafasi yani full demokrasia CCM Oyeeee daima!
 
Ni kweli mkuu sifa nyingine si chama cha kikabila au dini fulani ni chama cha wtanznia wote yoyote mwenye sifa kwa ngazi fulani ya uongozi anapewa nafasi yani full demokrasia CCM Oyeeee daima!

Rais
Jaji Mkuu
mkuu wa Majeshi
IGP
Makamu wa Rais
Mabalozi
Wakuu wa wilaya/mikoa wengi.....
Something in common!
 
Ni kweli mkuu sifa nyingine si chama cha kikabila au dini fulani ni chama cha watanzania wote yoyote mwenye sifa kwa ngazi fulani ya uongozi anapewa nafasi ya kugombea wnachama wenyewe ndiyo wanachagua kiongozi wao yani full demokrasia CCM Oyeeee daima kwa kuthibitisha hilo angalia yaliyomkuta Ahmadi Rasshidi CUF au kilichotaka kumkuta Zito alipotaka uenyekiti CDM au Kafulila kule Kwa NCCR - MAGEUZI!
 
Ni kweli mkuu sifa nyingine si chama cha kikabila au dini fulani au watu fulani kwa maslahi fulani ya kibinafsi ni chama cha watanzania wote yeyote mwenye sifa kwa ngazi fulani ya uongozi anapewa nafasi ya kugombea, wanachama wenyewe ndiyo wanachagua kiongozi wao yani full demokrasia CCM Oyeeee daima kwa kuthibitisha hilo angalia yaliyomkuta Ahmadi Rasshidi CUF au kilichotaka kumkuta Zito alipotaka uenyekiti CDM au Kafulila kule Kwa NCCR - MAGEUZI!
 
Katika hili kwa kuwa utu uzima ni shimo la taka CCM can take the blaim ila yupo na wapo wa kukaumiwa kwa hili! Labda kama kuna lingine

http://www.mzalendo.net/
content/uploads/2011/01/ameiumiamkeslaa.jpg
http://1.bp.blogspot.com/_a_xKoIDsA80/TTBKO3KH3q
I/AAAAAAAAKLs/kucjE162Qb4/s1600/6.JPG
MAITI.jpg

Mauaji ya Tarime
Untitled2.jpg

kunguru-weusi-washughulikiwa.jpg

Mauaji ya Pemba[/QUOTE]
 
Nakipongeza chama cha mapinduzi. Hiki ndicho chama chenye dola kwa nusu karne sasa. Kina uzoefu na uongozi katika taifa hili. Kwa kweli kimefanya mambo makubwa kwa taifa hili ambayo bila shaka yanafanya taifa zima likisifu kwa ushupavu wake na uongozi uliotukuka. miongoni mwa mambo yanayoashiria kurudi madarakani 2015 ni;
  • kimetupa uhuru.
  • kimeweka mazingira ya amani, upendo na mshikamano.
  • kimejenga barabara za lami nchi nzima.
  • kimejenga shule za kata nchi.
  • kimezima mgomo wa madaktari kwa uhodari wa hali ya juu.
  • kimejenga vyuo nchi nzima.
  • kimejenga mazingira ya ajira na kujiajiri nchi nzima.
  • kimekuza uchumi wa taifa zaidi ya % 7.
  • kimetoa viongozi imara na mashuhuri duniani.
  • kinasomesha wanafunzi vyuo vikuu.
Bila shaka watanzania tunajivunia hazina takatifu hii ambayo daima itaenziwa.

​Unajuaje CCM haina Mpinzani? Wakati CCM haina Mwakilishi 2015???
 
kuishi kwa kutegemea kusifia watu ni kubaya sana,yaani kwa maelezo hayo tayari waona ushindi kwa ccm 2015,wasiwasi wangu ni namna unavyojitambua yawezekana umelala na kwa kuwa ccm ipo kwny damu yako kazi yako ndiyo hyo ya kuandika kwa hisia. -great thinker ni kufikiri mambo kwa kina. -great thinker ni pamoja na kuchambua mambo in 3d.sio kukurupuka. nakushauri utulivu kabla ya kuweka jambo jamvini.
 
mleta mada sio kosa lake anajifunza hakuna raia wa tz hata moja anae taka ccm hata mimi nipo kwenye system na sinampango na ccm na ndio mwisho wao safari hii hawatoweza kununua kura

cholo una vituko sana . Uko kwenye system redio ama ? Teh teh teh teh.
 
waungwana jamani, hivi huyu mleta mada alimaliza matibabu yake kule Mirembe kweli? au alitoroka kipindi cha mgomo wa madaktari?
 
Back
Top Bottom