CCM gari chakavu - beyond repaired

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,884
6,885
Chama cha Mapinduzi ni sawa na gari kuukuu linalotoa moshi mwingi, na fundi makanika anajaribu kufanya tune up haisaidii ndo linazidi kutoa moshi zaidi na kushindwa pass ya emission test.

Nyoka kujichubua gamba habadiliki rangi na tabia, hali kadhalika maumbile ya asili atabaki ni nyoka tu. Kila mti mwema huzaa matunda mema na mti mbaya huzaa matunda mabaya.
 
Huku kujivua gamba kunambadilisha tabia nyoka au anabaki nyuka yule yule?
 
Mkuu kabla watu hawajaanza kuchangia, ondoa ...ed kwenye neno la mwisko katika heading isomeke ".......beyond repair".
Asante.
 
Mkuu kabla watu hawajaanza kuchangia, ondoa ...ed kwenye neno la mwisko katika heading isomeke ".......beyond repair".
Asante.

Mazingira, thanks, you know sometimes we are doing something else during rush hours, that's why I didn't recognize wrong spelling
 
quote_icon.png
Originally Posted by Mazingira
Mkuu kabla watu hawajaanza kuchangia, ondoa ...ed kwenye neno la mwisko katika heading isomeke ".......beyond repair".
Asante.

Mazingira, thanks, you know sometimes we are doing something else during rush hours, that's why I didn't recognize wrong spelling

Na yeye aondoe neno 'mwisko'.
 
Tunachojali kubadilisha sisi sio CCM bali ni serikali ya CCM. Hiyo ndiyo ijivue gamba. We wouldn't give a hoot if CCM were to die. We just want our government back.
 
Back
Top Bottom