Ccm fanyeni kazi kwa maslahi ya umma, bongo hakuna upinzani wa dhati

ngomicom

Senior Member
Jul 6, 2012
123
19
:A S-baby: NIMEFURAHISHWA saana na Bajeti ya Waziri wa Ujenzi, hakuna mtu aliyepata cha kulaumu. kumbe jamaa hawa na nipasho zao si waperuzi hata bali hutafuta mistari ya nipasho tu. Pigeni kazi majembe ya CCM najua mtafika salama.
 
acha ugamba ww unaongelea 1 kati ya 200!
 
Back
Top Bottom