CCM donda ndugu - Safu ya uongozi ni Jeshi (Amri tu na kufuatilia utekelezaji)

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
Mfumo wa utawala wa kidemokrasia unatofautiana mno na mfumo wa utawala wa kijeshi au unaoongozwa na wenye kujengeka na wenye kasumba za kijeshi. Siasa ni mfumo wa demokrasi unaowaruhusu watu kuamua wanavyotaka kwa utaratibu wa wengi wape. Jeshi ni kuamrisha tu na waliopewa amri ni kutekeleza wanayoamriwa bila argument.

Kinachoitesa CCM sasa hivi ni jukwaa lao kujaa na waandamizi wa kijeshi. Tunachoshuhudia matokeo yake ya mfumo wa kijeshi ndani ya nchi ya kidemokrasia. Na walio ndani ya CCM ambao wanatumia haki yao ya kikatiba katika kutoa maoni yao wanapingwa vikali kwa kuwa wanapambana na mfumo usiofanya kazi kwa uwazi, ila amri na kufuata utekelezaji.

Akina Makamba, Chilingati, na Mwenyekiti wao ni Wanajeshi, kwa utaratibu wa jeshi waliolelewa ni utekelezaji wa maagizo wanayopewa na wa juu na katika jeshi hakuna meza ya majadiliao ila meza tu ya kupanga mikakati ya utekelezaji wa amri toka mamlaka husika.
 
Makubwa haya na bado tutashuhudia mwaka huu. Chadema si tatizo la CCM, ila Chadema wanatumia udhaifu uliojengeka katika demokrasia ndani ya CCM kujiimarisha kisiasa. Na Chadema hawana haja ya kujibu hoja za CCM ila kuibana serikali kazi imekamilika. Kazi ipo:peace:
 
Candid Scope,

Analysis yako ni sahihi kabisa. Jaribu kuhesabu Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Tanzania Bara, na utakuta wengi ni wanajeshi waandamizi wastaafu: Retired Major Generals, Colonels, Majors na Captains ndio viongozi wetu. Ni wachache sana ambao ni wasomi wa Uchumi, Development Planning au Administration na Sheria. Labda kama ni wakina dada ambao, kwa siku za karibuni, wanaonekana wakiongezeka watakuwa sio wanajeshi wastaafu.

The result of this type of leadership is lack of in-depth analysis of issues before decisions are reached. The consequences: floppy and inept implementation of public projects. Hence slow development or no development at all.
 
Uko sahihi, maana hawako flexable kabisa, na kufuata amri na utekelezaji, sasa wanasiasa akina Sita na wenzake ni panga tu, kwani jeshini hakuna siasa.
 
We hujui kwamba "MAKADA" wametekwa nyara na "MAKAKMANDA" NDANI YA CCM.

Ulishaona kuna siku unaweza kukaa meza moja kujadiliana na afande? Kwani afande anajua siasa?
Afande kila anayemwona mbele yake ni kuruta wa kutekeleza anayoambiwa, alivyoambiwa thats all.
Afande anachosubiri ni amri toka kwa mkubwa wake na yeye kutoa maelekezo kwa walio chini yake.
Hapo kweli demokrasi ya kujenga nchi inabaki hadithi ya kusoma vitabuni tu.
 
Makubwa haya na bado tutashuhudia mwaka huu. Chadema si tatizo la CCM, ila Chadema wanatumia udhaifu uliojengeka katika demokrasia ndani ya CCM kujiimarisha kisiasa. Na Chadema hawana haja ya kujibu hoja za CCM ila kuibana serikali kazi imekamilika. Kazi ipo:peace:

Nyerere alijaribu kuwashirikisha wanajeshi kushika baadhi ya madaraka serikalini ili kupooza kidogo mapinduzi yaliyotaka kutokea mwaka 1964, lakini leo tunaona jeshi ndilo limeshika nchi kwa mzunguko wa sura na mfano wa chama cha ccm
 
Back
Top Bottom