CCM dhambi ya ubaguzi imeanza kuwatafuna, very soon watajizika wenyewe

CCM itaendelea kudharauliwa mpaka itakapoingia kaburini kwa kutokuwa na maamzi magumu kama simba ambae hawezi kutafuna mnofu kutokana na kupukutika meno mdomoni.Chama gani kisichoweza kusimamia maamzi yake.Kimepiga marufuku wanachama wake kujitangaza kugombea urais lakini wanachama wake ndiyo kwanza wanazidi kuibuka na kujitangazia wenyewe kugombea urais bila kujali marufuku ya chama.Chama chenyewe kimeshindwa kujisimamia halafu kinataka kiendelee kupigiwa kura labda kitapigiwa kura na chakula chake cha wajinga wa vijijini.
 
WADAU, vitendo ambavyo vinaendelea ndani ya umoja wa vijana wa ccm vya kuendekeza makundi ya uraisi na ubaguzi kwa wajumbe wengine kama hayatashughulikiwa mapema tunakipeleka chama pabaya sana, katika ziara ambazo KATIBU WA UVCCM TAIFA NDUGU MAPUNDA amejionelea mwenyewe makundi ya urais yanavyotafunana kwa kupigana majungu yanavyokiathiri chama kwa mfano katibu kwa sasa yupo mkoani ARUSHA kwa ziara ya kichama lakini kuna vijana wamelalamika waziwazi kwamba wanabaguliwa na umoja huo WENZAO WAMEPEWA POSHO ZA NAULI NA WENGINE WAMENYIMWA KATIKA KIKAO KILICHOFANYIKA LEO PALE UKUMBI WA ICE AGE ARUMERU JIMBONI KWA JOSHUA NASARI.

mosi ubaguzi huu na makundi ndani ya ccm ni kwa faida ya nani mnakatisha tamaa vijana kujiunga na chama chetu.makundi haya yanaongeza chuki baina yetu, uvccm imerundika vijana ambao hawana dira ya kukisaidia chama wamekalia propaganda za kuchafuana tu,hawajui kuwa siasa ya sasa ni SAYANSI kama zingine mathali kwa vijana wasomi waliopo ndani ya umoja huu wamekata tamaa na umoja huu kwa kukimbia kivuli chake.

Vijana waliopo uvccm wanaabudu viongozi kama vile miungu watu hawataki kuhoji vitu vya msingi na wenyewe wanaitikia ndio tu kwa kila jambo,wanamuona bwana mapunda kama mungu mtu huu ni ujinga wa mwisho,kiongozi kama kiongozi yeye ndiye mtumishi wa watu sio wa kutumikiwa. naomba makundi ya lowassa na kina membe,sita n.k yanatuumiza umoja wetu na chama.nawasilisha

Wameshakulipa ?
 
ccm makundi ndio chakula chao kwani wakina Msalani, mmaranguoriginal, Ifweero na wengine watakula wapi na ndio wanachokitegemea bila kusimama na upambe hapo nyuma kama mkia kumbuka siku haiwezi ingia kwao ndio maana wakishaingia kwenye post lazima post itoe harufu maana hawanawi mikono wakitoka msalani...
 
Kama alivyokwisha tanabaisha Rais wa kwanza wa JMT, Mh. JK Nyerere, kwamba dhambi ya ubaguzi ikiisha kuingia haifi mpaka ikumalize, kama afanyavyo mla nyama ya watu.
Kwa kilichofanyika Dodoma kwa kuwakata wagombea Urais kwa kigezo cha kukosa maadili a.k.a rushwa na Ufisadi, ni mwanzo wa dhambi ya Ubaguzi kwa sababu Mafisadi wa Richmond, Escrow, Meremeta, Kiwira, EPA, Radar, Kuuza nyumba za Serikali n.k. bado wapo CCM na hawajakatwa. Tena wengine wamepitishwa kugombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 kwa tiketi ya CCM.
Dhambi hii ya Ubaguzi imewagharimu kwa kiasi kikubwa sana mpaka kupelekea kuondokewa na Wanachama akiwemo waliowahi kuwa Mawiziri Wakuu Lowassa na Sumaye pamoja na baadhi ya Mawaziri wa kawaida.
Dhambi hii ya Ubaguzi bado inaendelea na itaendelea bila kukoma mpaka CCM itakaposambaratika, kufa na kuzikwa, kwani ni Jumamosi iliyopita tu Mzee Mkapa kada wa CCM kawabagua Watanzania kwa kuwaita Wapumbavu na Malofa, kwamba wao CCM ni welevu na matajiri kuliko watanzania ambao kwa kodi zao ndiyo CCM inapata hiyo jeuri.
TUKUTANE OKTOBA 25, 2015 TUMJUE NANI MPUMBAVU NA NANI MWELEVU, NANI LOFA NANI TAJIRI.
 
Last edited by a moderator:

Mi nafikiri dhambi ya ubaguzi ipo ukawa. Hebu tumia akili ndogo tu ya nyumbu, 96% ya viongozi waandamizi wa ukawa ni WANAMATAMBIKO DECEMBER.
 
Back
Top Bottom