CCM dhambi ya ubaguzi imeanza kuwatafuna, very soon watajizika wenyewe

Mwandishi uko juu ya mstari kabisa. Kwa hakika, hoja ya serikali tatu imewashinda CCM. Matusi na kejeli wanazotumia zitawaponza wenyewqe. Sisi walala hoi hatuna ila kuangalia sakata la CCM litamalizika vipi. Ninalo sikitikia ni namna CCM wanavo jimaliza kwa itikadi potofu. Nawatakia ucku mwema.
 
K Aliendelea zaidi kudai kwamba hati ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar imepatikana,
:yield:

ilikuwepo au imepatikana? imepatikana kutoka wapi ilhali miaka yote hii kuna watu wanadai angalau waione na wameambulia patupu? wameipata kutoka wapi?
 
Karum e alifanya referendum ya Muungano wa Tangayinka na Zanzibar kupitia RADIO Zanzibar, kwa kuwauliza Wazanzibari wote mara 3 kama wanautaka Muungano? Wazanzibari wote wakaitikia kwamba NDIYO tunautaka muungano. (mjumbe mmoja wa BMK kutoka Zanzibar). Ili upate raha ya kichekesho hiki, operating word ni RADIO na kuitikiwa NDIYO!
 
Nyie ukawa mlipoanza dharau, kejeli, na mbwembwe mlidhaniaje. Siasa za Zanzibar ziko very complicated kuliko mnavodhani nyie. Wakitoka kwenye hoja ya serikali tatu watahamia kuhoji serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Hawawezi kuachiwa bila kuambiwa. Ni lazima wapashwe kwa lugha kali ili wafahamu kuwa hila zao zinajulikana. Wajumbe wa Zanzibar wanaoipigania serikali ya Tanganyika kinawauma nini? Kama wanaona maslahi yao yameisha waseme hawautaki muungano sio kutusemea sisi watanganyika, sisi tukiitaka hatuitaji msaada toka nje. Jussa na wenzake wafahamu.
 
TO. MR. SAMWEL SITTA & OTHER LEADERS IN TANZANIA
conflict is a fact of life; conflict has value in organizations because it: 1. spotlights problems that require attention 2. forces clarification 3. can invigorate leaders to strive for permanent solutions 4. directs the efforts or the organization toward finding solutions 5. counteract lethargy that can overtake organizations 6. challenges old habits and restores dynamic creativity that existed during the organization's formative stages 7.stimulates interest and curiosity.
conflict is the gadfly of thought it stirs us to observation and memory. it instigates to invention. it shock us out of sheep like passivity, and set us at noting and contriving....Conflict is a sine qua non of reflection and ingenuity.
sources of conflict; conflicts occur in every part of life. but why? the six common are; 1. Perceptual differences. 2. Priority of value differences. 3. Different expectations or role pressures. 4. Divergent goals. 5. Self-esteem or status threat. 6. Personality clashes.
skills for resolving conflict; In any conflict between two parties, the approach and style for resolving conflict depends upon; assertiveness;. when important goals are at stake, leaders need to show assertive actions in pursuing the organization's view, needs, and goals. if the results have little importance, effective leaders wisely withhold assertive action.
responsiveness;. how highly leaders (or groups) value the views, needs, and goals of the other party and the keeping of a good relationship with them, determines the level of response. leaders need expertise in these two skills (assertiveness and responsiveness) both in resolving conflict situations and in dealing with people in general.
To summarize; Through non-assertive (submissive) behavior people usually hurt themselves by their own self-denial. If they have an overly developed ''polite'' response, they lose the right to act as they would like to, are unable to express their true feelings, and usually do not achieve their goals.
Through aggressive behavior, people usually achieve their goals by hurting or infringing on the rights of others. This results in vengeance and hatred from others and makes them feel anxious.
Though assertive behavior, people usually achieve their goals without hurting others' rights and feelings, or foregoing the expressing of their own opinions. Assertive behavior enhances self and gives honest expressions of feelings and viewpoints.
Self-assertion leads to;
i) Increased self- respect
ii) Increased respect others
iii) More control over life
iv) More influence on external events
v) Greater freedom from pressures or others' opinions
vi) More flexibility in interactions with others
vii) More inter-personal power
viii) Enhanced inter-personal skills and less manipulation by others.
 
Hivi, wale Wapemba waliopo CCM wanajisikiaje jinsi Upemba wao unavyodunishwa na chama chao kwa maslahi ya CCM? Au nao ni Wapemba maslahi?
 
Kumtukana Nyerere (kama wanavyodai MaCCM kwamba katukanwa), ni dhambi, kuutukana Upemba ambao unajumuisha vizazi mabibi na mababu zao ni sawa tu!
 
Mtahangaika sana kuichafua ccm chama kinachopendwa sana na watz wote lakini hamtafanikiwa
 
mwandishi uko juu ya mstari kabisa. Kwa hakika, hoja ya serikali tatu imewashinda ccm. Matusi na kejeli wanazotumia zitawaponza wenyewqe. Sisi walala hoi hatuna ila kuangalia sakata la ccm litamalizika vipi. Ninalo sikitikia ni namna ccm wanavo jimaliza kwa itikadi potofu. Nawatakia ucku mwema.
nakutakia mchana mwema.
 
Kuna mbunge mmoja alisikika siku za karibuni akitoa kauli za kibaguzi na kichochezi katika bunge la katiba (BMK) na kushangiliwa sana na wabunge wa CCM. Nilishangaa sana kuona wabunge wenye akili zilizotimia wakishabikia dhambi hii ya ubaguzi. Huyu ni mbunge wa CCM kutoka upande wa Zanzibar. Alisikika waziwazi akisema kwamba mapinduzi ya Zanzibar yalifanyika katika kisiwa cha Unguja na kwamba kule Pemba ilipelekwa bendera tu. Hakuishia hapo tu-aliendelea kuapa kwamba wale wasiotaka Muungano wa serikali mbili warudi "kwao". Aliendelea zaidi kudai kwamba hati ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar imepatikana, sasa hao watu (Wapemba) aliowataka warudi kwao (Uarabuni) sasa waanze kudai hati ya Unguja na Pemba. Na safari zote alipokuwa akitamka maneno haya alikuwa akishangiliwa kwa nguvu sana na wanaCCM wenzake!

Kauli za chuki na za kibaguzi kama hizi sio za kushangilia wala kushabikia hata kidogo. Inakuwaje wana-CCM wamshangilie mtu anayetaka kubomoa umoja na mshikamano wetu badala ya kumkemea eti kwa sababu ni "mwenzao" na kwa kigezo kwamba wao ndio wanaotawala na hakuna mtu wa kuwahoji? Nchi hii ikimwaga damu kwa sababu ya kauli za kiintarahamwe kama hizi ni nani atakyebaki salama? CCM mnapaswa wakati mwingine kujifunza kutumia akili badala ya kutumia viungo tofauti na ubongo. Mmepewa akili mzitumie kuchanganua mambo sio kufugia nywele!

Sasa endeleeni kuchezea amani, siku likibumbuluka msitafute mtu wa kumlaumu. Hatuwezi kuvumilia kuona wajinga wachache wakiitumbukiza nchi katika vita huku tukiwa tumekaa kimya. Ni wazi vita ikitokea ktk nchi hii watakaoathirika ni wananchi masikini wasiokuwa na uwezo wa kuikimbia nchi. Watu wa CCM mmeishavuna pesa za kutosha kupitia kwenye ufidsadi. Ikitokea vita mtapanda ndege na kukimbilia nje ya nchi. Mistake kupalilia chokochoko ambazo zitakuja kugharimu maisha ya walalahoi huku watoto wenu mkiwatorosha kwenda nje ya Tanzania.

Tafakari, chukua hatua!
:yield:
na ndio maana wanataka kuleta mambo ya uraia wa nchi mbili
 
Kwa ufupi CCM itaendelea kuitawala nchi hii miaka mingi ijayo kwa kuwa wanaoshindana nao ni waoga wa hoja.
 
Mtei na CHADEMA yake iliyojaa wakristo wanawabagua waislamu na watu wasio katika kabila la wachaga wasiotoka Kaskazini. Lukuvi anaogopa uislamu usije kuwa na nguvu Zanzibar, huku anawatukana wapemba. Kweli wakristo wengi mmeiva sana kwa mafunzo ya chuki na ubaguzi mnayofundishwa kanisani.
 
Kuna mbunge mmoja alisikika siku za karibuni akitoa kauli za kibaguzi na kichochezi katika bunge la katiba (BMK) na kushangiliwa sana na wabunge wa CCM. Nilishangaa sana kuona wabunge wenye akili zilizotimia wakishabikia dhambi hii ya ubaguzi. Huyu ni mbunge wa CCM kutoka upande wa Zanzibar. Alisikika waziwazi akisema kwamba mapinduzi ya Zanzibar yalifanyika katika kisiwa cha Unguja na kwamba kule Pemba ilipelekwa bendera tu. Hakuishia hapo tu-aliendelea kuapa kwamba wale wasiotaka Muungano wa serikali mbili warudi "kwao". Aliendelea zaidi kudai kwamba hati ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar imepatikana, sasa hao watu (Wapemba) aliowataka warudi kwao (Uarabuni) sasa waanze kudai hati ya Unguja na Pemba. Na safari zote alipokuwa akitamka maneno haya alikuwa akishangiliwa kwa nguvu sana na wanaCCM wenzake!

Kauli za chuki na za kibaguzi kama hizi sio za kushangilia wala kushabikia hata kidogo. Inakuwaje wana-CCM wamshangilie mtu anayetaka kubomoa umoja na mshikamano wetu badala ya kumkemea eti kwa sababu ni "mwenzao" na kwa kigezo kwamba wao ndio wanaotawala na hakuna mtu wa kuwahoji? Nchi hii ikimwaga damu kwa sababu ya kauli za kiintarahamwe kama hizi ni nani atakyebaki salama? CCM mnapaswa wakati mwingine kujifunza kutumia akili badala ya kutumia viungo tofauti na ubongo. Mmepewa akili mzitumie kuchanganua mambo sio kufugia nywele!

Sasa endeleeni kuchezea amani, siku likibumbuluka msitafute mtu wa kumlaumu. Hatuwezi kuvumilia kuona wajinga wachache wakiitumbukiza nchi katika vita huku tukiwa tumekaa kimya. Ni wazi vita ikitokea ktk nchi hii watakaoathirika ni wananchi masikini wasiokuwa na uwezo wa kuikimbia nchi. Watu wa CCM mmeishavuna pesa za kutosha kupitia kwenye ufidsadi. Ikitokea vita mtapanda ndege na kukimbilia nje ya nchi. Mistake kupalilia chokochoko ambazo zitakuja kugharimu maisha ya walalahoi huku watoto wenu mkiwatorosha kwenda nje ya Tanzania.

Tafakari, chukua hatua!
:yield:

Well said Mkuu, wanasahau kuwa MCHIMBA kisima hingia mwenyewe! acha hili fukuto liwachome sehemu zao za siri sasa...
 
Karum e alifanya referendum ya Muungano wa Tangayinka na Zanzibar kupitia RADIO Zanzibar, kwa kuwauliza Wazanzibari wote mara 3 kama wanautaka Muungano? Wazanzibari wote wakaitikia kwamba NDIYO tunautaka muungano. (mjumbe mmoja wa BMK kutoka Zanzibar). Ili upate raha ya kichekesho hiki, operating word ni RADIO na kuitikiwa NDIYO!

Mkuu hata mimi nilishangaa kweli niliposikia huu ukweli...
Hiyo referendum ilikuwa "kiboko"...

Wakielezwa muungano ni batili wanatokwa povu kwa kusema umetukana waasisi...
 
CCM mnapaswa wakati mwingine kujifunza kutumia akili badala ya kutumia viungo tofauti na ubongo. Mmepewa akili mzitumie kuchanganua mambo sio kufugia nywele!

Kwani wana ubongo na akili ? Mie nilidhani ndani ya vichwa vyao wana mapande ya kile wadachi wanaita "gehakt" {nyama ya kusaga ilioviringishwa mduara}.
 
Tatizo mntaka mseme ninyi tu..... Wakisema engine mnalalamikaje!!! Kilichoonyeshwa name kusemwa na wana CCM ZANZIBAR ni like ambacho KIKO MIOYONI MWA WAZANZIBAR KWA KARNE KADHAA. hofu wanayoiongelea wanna ccm Zanzibar, ni hofu iliyodumu mioyoni mwao kwa miaka mingi.remember..." It's not the fear of death but it's the fear of living"" hat a nyie wajinga mnalijua hili lakini kwa sababu dhamira yenu ni kuona nchi ikiwa destabilized....... Hatuwashangai.
Safari hii hamtapata Democratic privileges eti HAKI YA KUANDAMANA!!!! we will wipe you from the streets and annihilate you completely
 
ilikuwepo au imepatikana? imepatikana kutoka wapi ilhali miaka yote hii kuna watu wanadai angalau waione na wameambulia patupu? wameipata kutoka wapi?
Wewe unadhani inatolewa kama mandazi kwamba ukihitaji unapewa wakati wowote.
 
Back
Top Bottom