CCM dhaifu Vs Lowassa mwerevu: Anguko lililo wazi CCM

Taifa lilishwa uongo juu ya Lowasa (simaanishi kwamba Lowasa ni msafi) kumbe tuhuma yoyote utakayotaka kumtuhumu Lowasa basi ujuwe JK anahusika, na ndio maana Lowasa anasema yeye na JK hawakukutana barabarani. Hii ni kauli nzito sema Watanzania ni wavivu wa kudadisi.

KUNA MASWALI MENGI JUU YA KAULI HIYO! Na majibu yake yaweza kuwa HASI & CHANYA . Ok walikutana si barabarani na si mara moja......... sasa ni wapi? na kwa lipi? KAMA GREAT THINKER USIWE NA MTAZAMO WA MAWAZO YAKO . (Mtu mzoima haonyeshwi na kufundishwa kila kitu)
 
Leo Nimeamini kwamba Viongozi Wengi wa CCM ni Wajinga na Mbaya Zaidi Wameamua Kupambana na Lowasa Mwerevu.

How Comes Viongozi wa CCM (Wakiongozwa na Nape) Wanamwogopa Hivi Lowasa? Kama Lowasa ni Mchafu hivi iweje Viongozi wa CCM ( Sitta, Chiligati na Nape) Wanatumia Njia za Majungu, Fitna, Njia zisizokuwa za Moja kwa Moja Kupambana na Lowasa?

1. Juzi tumeshuhudia CCM wakifanyia Mabadiliko katiba yao wakiweka Vihunzi Vingi lakini kwa Mjanja ukiangalia Lengo ni kupunguza Nguvu za Lowasa kuelekea 2015, Hivi Lowasa asipogombea Urais 2015 kwa sababu yeyote ile ( Aaamue, Afe au hata Augue) CCM watarudi kurekebisha Katiba yao tena? Kama Wanaamini kwamba Lowasa ni Mchafu kiasi hicho kwa nini Wasimkamate au kumfukuza Uanachama Badala yake wanatumia Njia za Kumvizia/ Uoga huu una Nini? AU WAMEGUNDUA ALIYE MCHAFU SI LOWASA?

2. Tumeona Kura za maoni Arumeru Mashariki Jinsi Sioi Sumari alivyotakiwa Kutoswa Kisa eti ana Unasaba na Loawas. Hivi Chama Chenye Jeshi, Polisi, Mahakama, Takukuru Kimefikia hatua ya Kuogopa Kivuli cha Lowasa kwa Namna hii Kweli? Walianza akina Nape na Kina Chatanda kupiga Majungu ya Utata wa Uraia wa Sioi lengo lao likiwa Kumtosa Mkwe wa Laigwanan wa Kimasai. CC nayo ikaingia Mkenge ila ikatumia Busara kidogo ya Kurudia Uchaguzi huku wakiamini kwamba Sioi angeshindwa. Mpaka nimefikia sasa na mimi naanza kuamini kwamba Tatizo la Lowasa si Ufisadi bali Urais 2015 na kuna Watu wameshagundua "Werevu wa Mtu huyu"

Nape, Chiligati, Mwigulu Onesheni Uanaume wenu Acheni kutumia Indirect Method kupambana na Lowasa kama hamna uhakika na Tuhuma zake Mwacheni.

Kuna Mpuuzi Mmoja leo ameleta Mada juu ya Lowasa Kuumbuliwa na Takukuru Arumeru, Mada ilichangiwa na watu wengi sana wakiamini Utunzi wa Mpuuzi yule.

Wajanja walishagundua kwamba Akina Nape walishagundua Nguvu ya Lowasa wakaanza kuleta Propaganda zao ili baadae Sioi akishinda ionekane ni Nguvu za Pesa.

Hivi Kweli Lowasa atume SMS kuagiza Mtu akatoe rushwa? Lowasa ambaye CCM ya akina Sita inatafuta Namna ya kumtoa CCM lakini inas
 
Lowasa amekaa anawasanifu tu sasa hawana Namna Lazima wakamwangukie Laigwanan ili Wakanyage Arumeru. Nilikuwa simpendi sana Lowasa ila Njia zinazotumia na Akina Nape kupambana na Lowasa zinanifanya Nifikirie Mara ya Pili juu ya Dhamira ya wanaopambana naye
Mimi huwa nawaambia chama (CCM) kimevamia na vijana, tuliposema chama kiongozwe na vijana wakadhani kila kijana anaweza kuongoza. Chadema kinapenda vijana washike madaraka lakini si kila kijana anayeweza kuachiwa madaraka makubwa yanayoweza kuyumbisha chama, hawa tunaowaona kina Zitto, Mnyika, Mdee, Lema nk si kuwa wamekuja kwa bahati la wameandaliwa na isitoshe wana utaratibu wao wa kuwafunda, ndio maana kama wakienda ndivyo sivyo kuna wakati mwingine wazee huingilia kati.

Kwa CCM ni tofauti kidogo, vijana hawaandaliwi wanakuwa appointed kwa misingi ya kujuana, fadhila za wazazi wao, anatoka kundi gani nk. hata kama hana uwezo. Nape, Mwigulu na Chilligati ni vijana wa CCM sidhani kama waliandaliwa kushika madaraka ya chama kubwa kama CCM. Kila kijana ana wazee wake au kundi lake, inakuwa vigumu kwa wazee wa CCM kuwaonya kwa kuhofia upande fulani. Utakuta kamati zisizo na mwisho zinaundwa sikwamba wanapenda ila wanataka kupoteza muda watu wasahau. Ndio maana mara kwa mara kunakuwa na matamushi ya kutatanisha na kutambiana kutoka kwa vijana UVCCM, Nape, Mwigulu nk kama tunayoyaona sasa.
 
Unaposema 'sisi' una maana gani? Ninyi akina nani?
Mod niliwahi kusema ondoa message zote za aina hii. Hazina jipya la kujenga akili maana zimejaa kampeni za Lowasa. Sijui Lowasa ana mapungufu yapi mpaka atetewe kiasi hiki na kajikundi ka watu wapya ndani ya jf?

Enzi hizi za maisha magumu watu tunakodishwa kwa kazi za ajbu sana. Hebu niombeni mimi niwasaidie hiyo kazi kwa siku moja, bure! Hii timu haijui wala kufahamu mzigo wanaoubeba.

Wakuu katiba mpya inakuja na umri wa Lowasa wenu tunauacha nje ya cutoff line.

Lowassa ni mwanasiasa mnyenyekevu kiliko wote Tanzania, majungu anayopigwa angekuwa anapigwa Sitta tungesikia vilio kila mahali!
 
Albedo, asante!.

Asubuhi nilisema hivi...

Note, Arumeri is done!, tujipange kwa 2015, tuhakikishe CCM, inamsimamisha EL, sio tuu ili rais atoke Kaskazini, bali pia tupange ukombozi wa pili wa ukweli!.

Mkuu kote umeenda sawa, ila hiyo ya kumsimamisha lowassa sijui ni kwa manufaa ya nani... ya CCM, ya Taifa au ya LOwassa... kwasababu kama nimemsoma vizuri Albedo (muzee ya chui), hajafungamana na upande wowote
 
kweli jamaa ni mwanasiasa.na anamalengo kweli. huyu ndugu ni tembo haogipi kelele za chura. na akitoa kauli lazima nchi izizime.na haongei ovyoovyo.
 
Pasco yuko kazini wewe muache, anautamani Usalva Rweyemamu,.......
 
Unaposema 'sisi' una maana gani? Ninyi akina nani?
Mod niliwahi kusema ondoa message zote za aina hii. Hazina jipya la kujenga akili maana zimejaa kampeni za Lowasa. Sijui Lowasa ana mapungufu yapi mpaka atetewe kiasi hiki na kajikundi ka watu wapya ndani ya jf?

Enzi hizi za maisha magumu watu tunakodishwa kwa kazi za ajbu sana. Hebu niombeni mimi niwasaidie hiyo kazi kwa siku moja, bure! Hii timu haijui wala kufahamu mzigo wanaoubeba.

Wakuu katiba mpya inakuja na umri wa Lowasa wenu tunauacha nje ya cutoff line.

unaposema lowasa anamapungufu gani mpk atetewe namna hii umekosea bos,kwani hata mtume muhamad {saw}hana mapungufu sana lakini kila muumin wa dini yake ameimizwa kumsalia mtume
 
hata hivyo wanaweza kumtosa vilevile, kwani hicho kikao cha mwisho ndicho kinamaamuzi. Kwa CCM kura nyingi siyo tija bali huyo anauzika? watatafuta zengwe lingine wewe subiria tu. Je wajua sioi bado hajaukana uraia wa kenya mpaka sasa? kigezo cha uraia kitamwondoa sioi hata kama ameshinda kwa kura nyingi tusubiri tu.

Utasubiri sana
 
Albedo, asante!.

Asubuhi nilisema hivi...

Note, Arumeri is done!, tujipange kwa 2015, tuhakikishe CCM, inamsimamisha EL, sio tuu ili rais atoke Kaskazini, bali pia tupange ukombozi wa pili wa ukweli!.

Who told u that Pasco?Arumeru ngoma bado ndefu,usifanye conclusion kirahisi rahisi namna hiyo
 
Komalieni katiba ibadilishwe iwe hapo kwa manufaa ya jamii yote. Mtu yeyote aweza kuwa President, sioni ubaya wa Lowasa kugombea na akawa president so long as president inaongozwa na katiba ya nchi ambayo tutakuwa tume ikubali sisi Watanzania.MBALI YA HAPO HIZO CHUKI ZAO BINAFSI HAZINAHAJA YA KUTUNYIMA SISI USINGIZI. KATIBA MBADALA NDIYO NJIA YA UKOMBOZI WA WATANZANIA.
 
kweli jamaa ni mwanasiasa.na anamalengo kweli. huyu ndugu ni tembo haogipi kelele za chura. na akitoa kauli lazima nchi izizime.na haongei ovyoovyo.
Very true, ni abadan kumsikia akiongea na jamii. Na aongeapo ni zaidi ya Rais ahutubiapo mwisho wa mwezi. Macho na masikio hugeukia kwa kujadili alichokisema Lowassa. Let's think twice
 
So siri Lowasa ni jembe NO MATTER HE'S WRONG OR RIGHT he knows how to make his things happen! Mimi huwa namuita PK au PASUA KICHWA!
 
Lowassa ni mwanasiasa mnyenyekevu kiliko wote Tanzania, majungu anayopigwa angekuwa anapigwa Sitta tungesikia vilio kila mahali!

Mkuu,
Jamaa EL anamoyo wa subra sana (waislamu huhamasishana kuwa na subra), kwa afanyiwayo EL...hata ingekuwa ni mkulu mwenyewe basi mambo yangeshaharibika kitambo saana. Jamaa ni jemedari hasa, huongea nadra sana na haonekani hovyo. Hatuwezi kumfananisha EL na Sitta, kwa Arumeru ni onyo kubwa kwa CCM nzima juu ya EL
 
Albedo.... Kamanda umeongea ukweli sana, na kizuri ni kwamba hujaweka ushabiki hivyo habari yako haina karaha kuisoma. kweli wewe u mtoto wa loning'o na chui ulilikamata kweli!!!

Hawaaminiani, lakini wanalala kitanda kimoja..... hakuna usingizi hapo!!! Hiyo ndio CCM ya Leo
Aisee kumbe albedo ni X-Ilborian???tu wengi humu.....
 
Mimi huwa nawaambia chama (CCM) kimevamia na vijana, tuliposema chama kiongozwe na vijana wakadhani kila kijana anaweza kuongoza. Chadema kinapenda vijana washike madaraka lakini si kila kijana anayeweza kuachiwa madaraka makubwa yanayoweza kuyumbisha chama, hawa tunaowaona kina Zitto, Mnyika, Mdee, Lema nk si kuwa wamekuja kwa bahati la wameandaliwa na isitoshe wana utaratibu wao wa kuwafunda, ndio maana kama wakienda ndivyo sivyo kuna wakati mwingine wazee huingilia kati.

Kwa CCM ni tofauti kidogo, vijana hawaandaliwi wanakuwa appointed kwa misingi ya kujuana, fadhila za wazazi wao, anatoka kundi gani nk. hata kama hana uwezo. Nape, Mwigulu na Chilligati ni vijana wa CCM sidhani kama waliandaliwa kushika madaraka ya chama kubwa kama CCM. Kila kijana ana wazee wake au kundi lake, inakuwa vigumu kwa wazee wa CCM kuwaonya kwa kuhofia upande fulani. Utakuta kamati zisizo na mwisho zinaundwa sikwamba wanapenda ila wanataka kupoteza muda watu wasahau. Ndio maana mara kwa mara kunakuwa na matamushi ya kutatanisha na kutambiana kutoka kwa vijana UVCCM, Nape, Mwigulu nk kama tunayoyaona sasa.
Mkuu Heshima kwako,ila hapo kwenye Bold, napuliza kipeng
aaaa, huyu jamaa ni Mdingi...
 
Back
Top Bottom