Mombo Wetu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2008
- 377
- 36
Wakati naandika sikutegemea kueleweka na wote!!! Kwa kuwa nilijua wako wenye mawani za rangi fulani fulani hivi na wapo wale ambao hawana...
So, again you are absolutely right!
Lakini pia inawezekana uliyovaa wewe inaleta reflection ndo maana hawakutambui kila wakitazama mara mara wanaona blue mara njano na kijana mara nyeupe depending na rangi inayoelekea kwako so na wewe unatakiwa kuivua yako uwe neutral au uivae yenye rangi inayoonekana wazi rangi yako ni ipi....
By the way hata kama CCM watakuwa upinzani nakufanya haya wenzao wanayofanya ndiyo majority wanataka ili kusiwe tena na ubabe, dharau, comfortability katika kuwahudumia jamii that means kila chama kitapenda kikubalike na wanaowaongoza ili kuendelea kuwa na uhalali wa kuongoza.