CCM Dar yapata Mwenyekiti Mpya; ni Ramadhani Madabida

Hapa ndipo huwa naisikitikia sana nchi hii. Mtu kama huyo Madabida anakabiliwa na moja ya kashfa kubwa na hatari sana ktk historia ya Tanzania. Kashfa ya kiwanda ambacho wao ni wabia kutengeneza na kusambaza dawa za ARV na kuweka maelfu ya afya za wananchi wa nchi hii hatiani. Lakini eti katikati ya hayo anachaguliwa kuwa kiongozi (wa CCM) mkoa kama Dar!!??

Sijui kuna uhusiano gani wa nguvu kati ya mafisadi na utawala wa nchi hii, to me it's closer to a mystery really.
 
SOURCE Faustine Ndugulile FACEBOOK


Results out: Ramadhan Madabida is the new Dar Es Salaam CCM chairman. Congrats!


Awali Madabida alijikuta katika wakati mgumu wakati akijinadi baada ya mjumbe mmoja kumuuliza swali kuhusiana na kiwanda chake kudaiwa kutengeneza dawa bandia za kupunguza makali ya Virusi vya Ukimwi za ARV.


Hata hivyo, Msimamizi wa uchaguzi huo, Assa Simba alimzuia Madabida kujibu swali hilo akisema kwamba haukuwa wakati wake.

Awali, akifungua mkutano wa uchaguzi huo, Makamu wa Rais, Dk Gharib Bilal alisema kuwa chama hicho kimelenga kurudisha majimbo yake yote yaliyochukuliwa na wapinzani katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.


“Natumaini uchaguzi utakuwa wa haki bila vurugu zozote, nawaomba msiwe na wasiwasi kwani chama chenu kipo imara kuwakabili wapinzani,” alisema Dk Bilal.


SOURCE: MWANANCHI

Duh! CCM kiboko yaan pamoja na madabida kutuletea ARV feki bado mumempetesha?uwajibishanaji ukowapi sasa?
 
Hapa ndipo huwa naisikitikia sana nchi hii. Mtu kama huyo Madabida anakabiliwa na moja ya kashfa kubwa na hatari sana ktk historia ya Tanzania. Kashfa ya kiwanda ambacho wao ni wabia kutengeneza na kusambaza dawa za ARV na kuweka maelfu ya afya za wananchi wa nchi hii hatiani. Lakini eti katikati ya hayo anachaguliwa kuwa kiongozi (wa CCM) mkoa kama Dar!!??

Sijui kuna uhusiano gani wa nguvu kati ya mafisadi na utawala wa nchi hii, to me it's closer to a mystery really.

Hicho kiwanda sio cha kuzalisha MADAWA kwa TANZANIA pekee; kwa pia Nchi za Africa zilizo karibu na Tanzania Kwahiyo ni Kenya; Uganda... Zambia; Congo-Kinsasha n.k ni kiwanda cha 6Million US Dollars... An Investment to Make FAKE ARV's kuwaibia poor AFRICAN's...
 
Kwa kukumbatia mtu asiye na uadilifu, asiye na huruma kwa waathirika wa UKIMWI ni kwamba hata yale majimbo mliyochukua kwa kuchakachua yatarudi kwenye mikono stahili CHAMA TAWALA, wakati hou (2015) ninyi mkiwa CHAMA CHA UPINZANI. Kama mtathubutu, wekeni hewani CV ya Madabida.
 
wana ccm ndio wanatuangusha ktk nchii hii,pamoja na wizi wa dawa feki za arvs bado wanamchagua!

...Maneno kwamba.."ooh haiba ya chama kiuadilifu imeharibika shauri ya wafanyabiashara kushika "nyazifa" za uongozi"...yamegeuka kuwa majivu..unategema nini kutoka kwa mfanyibiashara anaejiingiza ktk siasa..? one of the two..ama raila mwingine(if we r luck)...au rooostm mwingine...kuanzia sasa sina tena chama...!
 
fanyeni kazi ....:hatari:eti kazi iliyopo ni kurudisha majimbo yaani uchaguzi ukiisha wanafikiria uchaguzi ujao...fanyeni kazi...damn it
 
siku za mwisho hata ndugu yako anaweza kukukana,sembuse mwana kambi!

The fact Ni kuwa ccm inajichmbia kabuli kwa kuwa na watu wachafu ndani ya uongozi wao,wanajinasibu kuingia magamba wakati Ndo wanaongeza magamba yenye cancer.Ni vzr hizi weakness zinaonekana asubuhi zitumike vzr kukiondoa hiki Chana na bozo wote.
Madabida knows the truth how FAKE ARVs zilvyotengenezwa kiwandani kwake na zilifikaje MSD;ni muuaji mkubwa wa hawa ndugu zake poor African na MSD ni kawaida Yao kuwa kwenye chain ya mauaji kwa watamzania;Angalia walivyopokea vitendanishi vya Sd Bioline vilivyopigwa marufuku na WHO na kuthibitika Ni vibovu na hatimaye vilitumika kwa tanzania;ondoa ccm ondoa MSD ondoa wauaji;I remain to be corrected
 
Back
Top Bottom