KWA MACHACHE HAYO NAOMBA MUONGEZE MENGINE MAZURI NA PIA MABAYA KAMA YAPO.
Asante kwa hili:
Badilisha ubadilishi wa maneno yangu kabla sijakunyea mvua ya makaa ya mawe na kutaka damu yako, kabla sijakuua na kukutundika mtini, halafu nikaifungia maiti yako booby trap za mabomu yatakayowalipua ndugu zako watakaokuja kuuchukua mwili wako.
Heshimu watu, wenzako walikuja na vitusi vya rejareja asubuhi leo wamekimbia, gari kubwa hili, usitake kuja kulaumiana hapa.
Wengine hapa rooting for CCM ni uchuro mkubwa sana.
Badilisha haraka sana kabla sijakumezelea mbali mpaka usahaulike!
Mwehu wewe! wenzako wanajadili mambo ya msingi wewe unaongea habari za mademu? Hili siyo jukwaa lake!Wewe Visible,
Yule demu wako asharejea au ndio ametokomea kimoja na huyo jamaa mwenye Landcruiser?
Kwa njia hii unafanya vyema kujipunguzia stress. Unajua tena maisha ya kuachwa!
heshima mbele wana jf:
Kama kawaida najua wengi mtalipinga hili:
Ccm ni chama cha siasa ambacho kik madarakani tangu uhuru:
Tulipotoka ni mbali na hadi tulipo lazima tukishukuru chama hiki kwa mambo yafuatayo:
1.amani na utulivu nchini:bila ccm na viongozi wake bora nadhani amani ya nchi hii isingefika hapa.
-tanzania ni taifa lenye amani duniani:
-naisifu ccm kwa hili; ukiangalia mataifa mbali mbali duniani vita na majanga mbali mabali unaweza gundua kuwa kweli tanzania pamoja na umaskini wetu bado amani ni kitu muhimu sana na ni fahari yetu.
-hongera ccm na tunashukuru kwa hili.
2.kukua kwa maendeleo:hapa tunazungumzia elimu,mawasiliano,kilimo etc
-elimu hakuna ubishi toka kuwa na chuo kikuu kimoja hadi sasa tunashukuru ccm na serikali yake bila wao nadhani tungechechemea kwa hili.
-mawasiliano:barabara na telecom kwa hili serikali imejitahidi sana na bado inaendelea kutengeneza barbara safi na za kisasa.
-kilimo kimeboreshwa na serikali bado inazidi kuhimiza kilimo kama njia ya kujikwamua kiuchumi.
3.kukua kwa siasa na democracy:ccm ingekuwa si chama kizuri nadhani sasa hivi tz ingekuwa kama kwa kina castro fidel cuba:yani kusingekkuwa na vyama vingi na tena vinajiexpress kama wapendavyo bial tabuu yoyote.
-katiba na utawala wa sheria pia ni kitu cha kujivunia.
Kwa mlinganisho:bado wapinzani hawawezi kuongoza nchii hii labda baada ya miaka mia hivi kwa wastani:
Sababu kubwa ikiwa ni :uchanga wa vyama na utitiri wake.
-kukosekana kwa viongozi imara wenye msimamo na maamuzi mazito:
-ulafi wa madaraka
-wabunge waliochaguliwa kushindwa kabisa kusaidia wananchi ktk maendeleo na kuwakumbuka pindi za chaguzi.
Kwa machache hayo naomba muongeze mengine mazuri na pia mabaya kama yapo.
hongera rais wetu hongera ccm:jk tunakuitaji tena miaka mitano ijayo:
Mwehu wewe! wenzako wanajadili mambo ya msingi wewe unaongea habari za mademu? Hili siyo jukwaa lake!
Join Date: Wed Dec 2009
Posts: 11
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
POINTLESS hivi umejiunga lini hapa JF?
I think you're stupid, how do you dare to edit someone posting while replying it??!! You stink man!Asante kwa hili:
nimekugongea senksi hapo ingawa sijakunyaka vizuri MBADO
you must be dreaming!!!!!!!!!!!!!!
.
Kwa mlinganisho:Bado WAPINZANI hawawezi kuongoza nchii hii labda baada ya miaka mia hivi kwa wastani:
sababu kubwa ikiwa ni :uchanga wa vyama na utitiri wake.
-kukosekana kwa viongozi imara wenye msimamo na maamuzi mazito:
-ulafi wa madaraka
-wabunge waliochaguliwa kushindwa kabisa kusaidia wananchi ktk maendeleo na kuwakumbuka pindi za chaguzi.
KWA MACHACHE HAYO NAOMBA MUONGEZE MENGINE MAZURI NA PIA MABAYA KAMA YAPO.