Ccm chama na serikali tuna hataji majibu ya kina juu ya tuhuma hizi za kifisadi zinazo wakabili.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Wana jamvi nawasalim wota na pia naomba kutoa kilicho kifuani mwangu.
nina maswali machache sana ila ninahitaji majibu ya kina kutoka kwa kiongozi yeyote wa ccm atakayeona inamhusu.

nikianza na uongozi wa juu kabisa wa chama na serikali,na wengine walio husika DR,KIKWETE,LOWASA,PINDA,MAKAMBA,BATILDA BURIANI,MUKAMA NA MZEE WA MATRILIONI.wote hawa wanalifahamu hili tene kwe kina.
Napenda kujua zile pesa zaidi ya bilioni mbili na nusu mlizochota kwenye akaunti ya JWTZ hapa arusha kwaajili ya kuwasaidia kwenye kampeni za uchaguzi mkuu hapa arusha mjini na arumeru kwa maruhemu sumari na hìi ilisababisha vijana kuishi kwa shida na kukosa mahitaji muhimu vipi waheshimiwa mlisha zirudisha??
Tunafahamu kwa kina kuwa swala hali ndilo lililo myima raha DR,KIKWETE na kumfanya myonge alipouzuria mahafali hapa MONDULO mwaka jana mwishoni.baada ya waheshimiwa kutishia kumwaga ugali,tafazali tunahitaji majibu.

LOWASA:

Mwarusha wa arumeru uliye lowea umasaini,tunajua kuwa wewe na UHURU KENYATA ni marafiki wa kibiashara wa muda mrefu lakini ulicho tufanyia hapa ARUSHA na TANZANIA kwa ujumla hakistahili.

Tunafahamu kuwa wewe na huyo mshirika wako ndio mlio filisi kiwanda cha matairi cha (jenero tairi)hapa arusha na mkakimbilia kenye ambapo mlifungua kiwanda kingine cha matairi cha ( YANA ) unaweza kutu eleza sababu ya kutufanyia unyama huo sisi WATANZANIA wenzako??

Bado hamkuishia hapo mkachukua kiwanda cha maziwa cha hapa urusha na pumpatia UHURU KENYATA kwa ahadi ya kukifufua lakini ikawa kinyume chake, kwani tunajua mashine zilizokuwa ndani mliziondoa na kuzipeleka tusiko kujua,na kugeuza kiwanda kuwa ghala la kuhifazia maziwa kutoka kiwanda cha ( BRUKSAIDI )ya kenya na kinamilikiwa na huyohuyo UHURU KWENYATA pamoja na wewe LOWASA.

Je? Ikitokea siku moja tukakupa hi nchi si utatuuzia ndani????!!

Kwetu kuna msemo unasema ( ukiona mbwa anaiba nyumbani ujue anakaribia kufa)

asanteni nawasilisha
 
Mkuu kama kweli mambo haya niyakweli basi huyu jamaa ni noma! To be honest nilikuwa ninamuona kama anaonewa kwenye ile ishu ya richmond kumbe yuko deep kiasi hiki. Nimeona thread moja hapa mzee wa kuuchapa usingizi mjengoni anasema Dr. Slaa (PhD) si msafi, sasa mimi nikawa najiuliza Dr. Slaa (PhD) si msafi compared to who in ccm?
 
Hili la Uhuru kushiriki ni muhimu kwa sisi Wakenya maana ameleta nyumbani ila Lowasa ambaye alitakiwa kutunza mali ya Wtz amewasaliti. Huu ushirikiano wa Afrika Mash ni faida kwa Kenya lakini Tz ni hasara kubwa
 
General tyre Lema ndiyo amekipigania mpaka wameshindwa kukichukua walikifilisi makusudi ili wakichukue mpaka wakubwa hapo walijiuzia magari $ 100 tu.
 
kumbe haya maziwa bruksaid ni ya mafisadi!! shabash! ndio maana vijana wa kimeru wameacha kupeleka maziwa arusha mjini.
 
Waje hapa watoe majibu tujue ukweli maana haya ni madai mazito na wasikae kimya Nape simuoni hapa jamvini au baada ya hadithi ya kujivua gamba kusitishwa?
 
Kiwanda cha maziwa ar kuwa goodwn ni sababu tosha ya wameru kuwanyima ccm kura,hembu fikiri maziwa wanauza wapi?
 
Serikali ina mkono mrefu sio rahisi hili kuwa kweli limetokea kwani tuna taasisi nyeti zilizo na watu mahiri walio tayari kwa lolote kutetea maslahi ya Taifa. Tena inaongozwa na watu wenye uaminifu uliotukuka usio na shaka wala doa wasingeweza kufumbia macho hili, Mtoa mada jipange upya
 
Serikali ina mkono mrefu sio rahisi hili kuwa kweli limetokea kwani tuna taasisi nyeti zilizo na watu mahiri walio tayari kwa lolote kutetea maslahi ya Taifa. Tena inaongozwa na watu wenye uaminifu uliotukuka usio na shaka wala doa wasingeweza kufumbia macho hili, Mtoa mada jipange upya}

mkuu Inaonekana wewe mgeni tanzania?kwa serikali yetu mambo hayo mbona kawaida lkn lazima ununue suti za wazee....hii ndio bongo watu wanasafilisha twiga wakiwa wazima,makampuni ya madini yamejenga na viwanja vya ndege ndani ya migodi ili usiku wamanane wasafilishe madini yetu,mwanasheria mkuu waserikali anaidhinisha ununuzi warada kwa bei yajuu ili apate 10% wadau mkishituka mnaludishiwa chenchi zenu maisha yanaendelea,mambo ya richimond na epa yafanyika bila woga ukihoji unachomwa sindano za sumu halafu unaambiwa nipo tayali kwa mapambano?
 
Back
Top Bottom