CCM Chama Cha Waarabu?

Na ndomana makanisa ya zamini yote yana under-ground,anagalia kama kanisa la mkunazini tena imeekwa kabisa njia mpaka pwani.. Je! kanisa lilikuwa la waarabu au? labda nikueleze tu kitu kidogo unaelewa kwamba machief wenyewe ndio walikuwa wanafanya biashara hiyo ya utumwa? Hata meli zilokuwa zinakuja ni za wazungu na zinajulikana kwa majina..
 
Well mkuu,

CCM ni chama waarabu, CCM ni chama Matajiri, CCM ni chama cha Maskini, CCM ni chama cha Wahindi, CCM ni chama waafrika, CCM hatubagui rangi wala dini..

Waarabu wote endeleeni kuchapa kazi na fanyeni biashara kwa amani...
 
Dah! Its true CCM welcomes every person having intention of developing our country.Its not there for only arabs but africans,indians,white people etc.
 
Hawakuona Wananyama wa Kaka yao Ghadaffi aliwaachia Mbali akakimbia na kanzu tuuu?

Let them Invest on Animals and forget about the needs of their people in their country...

Arabs People now have power to stand up out of the totalitarian Sheikhs and Kings...
 
Zanzibar kuna serikali ya umoja wa CCM na CUF na wala si serikalai ya mseto. Hapo sera ya CUF imeingia ya kuendekeza uarabu. Kwani kama kweli wanaguswa na hilo mbona hawakemei kupewa rasilimali za nchi hao wanaojiita wawekezaji wa kiarabu?

CUF na CCM wanapenda sana sera za ubaguzi wa rangi.
 
Matope
 
Wanawarudisha kuhodhi ardhi kwa kivuli cha kulima mashamba makubwa ,wanawarudisha kuhodhi ardhi kwa kuwapa sehemu za kati za utajiri wetu kwa kisingizio cha kutega uchumi ,wanawapa mbuga za wanyama kwa ajili ya kuwinda na kuwachukua wanyama hai kwa madazeni ,Kilimanjaro airport inatumika kikamilifu katika kusafirisha wanyama hai wa kila aina ,yaani utafikiri mbuga inahamishwa.Hakuna uwanja wa ndege unaotua midege mikubwa kama wa Kilimanjaro kwa ajili ya kusombea wanyama.

Hawa CCM ndio wanaokaa wakidanganya wengine kuwa CUF inataka kurudisha waarabu ,kuna sehemu Zanziba wameshapewa Waitali na sehemu ingine wamepewa waarabu ,yote haya hufanywa na CCM ,ila watanganyika wakiambiwa CUF ni Chama cha waarabu utadhani wamefungwa shemere za pua na kuvutwa ,wanakubaliana bila ya kuhoji ,lakini sasa unafiki wa CCM unatokeza juu juu ,mwenye macho haambiwi tazama.
Nchi alipokabithiwa mtumwa wa mwisho pwani ya bagamoyo imebidi awaite mabwana zake toka ughaibuni. hata dola milioni moja zilitolewa na wairani ili waje watawale upya. hata kushoneshwa suti ni waarabu. poleni watz kwaherini kwa safari ya kuelekea utumwani. Minyororo i tayari kufunga na kutinda vifundo vya miguu. ee mola tusaidieni wadanganyika!!
 
Ngojera za kanisani na vikao vya jumuiya
 
Hii imekaa kishabiki zaidi, Mimi hapa tunavyoongea girl frend wangu ni mwarabu lkn sikubaliani nao kabisa maana wakati wa watumwa warabu walichukua waswahili wengi kuliko nchi yeyote lkn leo hii hakuna warabu wenye asili ya afrika lkn marekani wapo kibao waniga alafu nyinyi mnaongea mambo kishabiki badala yakutumia hata vitabu kusoma kama mtu haujui mnatia aibu, haya sasa endeleeni na kuwatetea wakati tusha ambiwa sisi watu weusi tuna mioyo kama ya punda, au wewe ni Mwarabu (Shemeji) ?

Mwisho msipende kuacha kusoma jamani kweli ukitaka kumficha mbongo weka kitu katika maandishi

Sasa wewe unaona bora wawekezaji wa kizungu kuliko kiarabu?

Vijana wetu hawakimbilii uArabuni? labda hujatembelea nchi za kiarabu! waulize wenzako wanaopita pita Dubai kufanya biashara, ni nani wanaowatembeza Dubai wakiwa wageni? for your information, ni vijana wa hapahapa Tanzania. wamejaa uarabuni, tena nadhani ni wengi kuliko waliopo huko kwa wazungu.

Huna habri kuwa asilimia kubwa ya wa Tanzania wana mashemeji au wajomba wa kiarabu? ni mwarabu yupi anaebaguwa Tanzania, labda wewe hutoki Tanzania hii ninayoishi mimi!

Wazungu kuoa au kuolewa na wa Tanzania si kipimo cha kuridhisha, kwa hilo huna hoja, na hata tukichukuwa hilo bado namba ya wazungu wanao-owa au kuolewa na wa Tanzania ni ndogo sana ukilinganisha na waArabu wafanyao hivyo. Kama unabisha kawaulize wazee wako kama kweli u mTanzania basi waulize kama hauna waJomba au Mashemeji wa kiArabu!

Hoja zako dhaifu, tafuta jingine!
 
Wanawarudisha kuhodhi ardhi kwa kivuli cha kulima mashamba makubwa ,wanawarudisha kuhodhi ardhi kwa kuwapa sehemu za kati za utajiri wetu kwa kisingizio cha kutega uchumi ,wanawapa mbuga za wanyama kwa ajili ya kuwinda na kuwachukua wanyama hai kwa madazeni ,Kilimanjaro airport inatumika kikamilifu katika kusafirisha wanyama hai wa kila aina ,yaani utafikiri mbuga inahamishwa.Hakuna uwanja wa ndege unaotua midege mikubwa kama wa Kilimanjaro kwa ajili ya kusombea wanyama.

Hawa CCM ndio wanaokaa wakidanganya wengine kuwa CUF inataka kurudisha waarabu ,kuna sehemu Zanziba wameshapewa Waitali na sehemu ingine wamepewa waarabu ,yote haya hufanywa na CCM ,ila watanganyika wakiambiwa CUF ni Chama cha waarabu utadhani wamefungwa shemere za pua na kuvutwa ,wanakubaliana bila ya kuhoji ,lakini sasa unafiki wa CCM unatokeza juu juu ,mwenye macho haambiwi tazama.

waitali ni waalabu ??? Mkapa na Warioba , Sumaye ni machotala wa kialabu ?????
 
Huu, Ubaguzi ndio wakati mwingine uwa unawaghalimu sana. Toa sera muhimu kulingana na llani ya chama chako utaeleweka zaidi kuliko porojo mala pua ndefu oh Mwarabu hapo ndipo watu wanaona nyinyi niwabaguzi.
 
Sasa wewe unaona bora wawekezaji wa kizungu kuliko kiarabu?

Vijana wetu hawakimbilii uArabuni? labda hujatembelea nchi za kiarabu! waulize wenzako wanaopita pita Dubai kufanya biashara, ni nani wanaowatembeza Dubai wakiwa wageni? for your information, ni vijana wa hapahapa Tanzania. wamejaa uarabuni, tena nadhani ni wengi kuliko waliopo huko kwa wazungu.

Huna habri kuwa asilimia kubwa ya wa Tanzania wana mashemeji au wajomba wa kiarabu? ni mwarabu yupi anaebaguwa Tanzania, labda wewe hutoki Tanzania hii ninayoishi mimi!

Wazungu kuoa au kuolewa na wa Tanzania si kipimo cha kuridhisha, kwa hilo huna hoja, na hata tukichukuwa hilo bado namba ya wazungu wanao-owa au kuolewa na wa Tanzania ni ndogo sana ukilinganisha na waArabu wafanyao hivyo. Kama unabisha kawaulize wazee wako kama kweli u mTanzania basi waulize kama hauna waJomba au Mashemeji wa kiArabu!

Hoja zako dhaifu, tafuta jingine!

Kuowa au kuolewa na Mwarabu au Mzungu.. What is so important about this? Nchi inaelekea kutushinda, bado watu wanabishana vitu vya ajabu ajabu. Au labda kuowa Mzungu au Mwarabu ndio maendeleo?
 
Back
Top Bottom